Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Siku yako ya 40 itafika tu michezo michafu mwisho wake ni mchungu sana nyie ndomnaostahili kupigwa risasi 50
 
Namuombea tu mkewe na yeye ampende kwa upendo huo huo wa mumewe. Kweli mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe
 
Wote mna makosa,wewe unatembea na mke wa mtu pia dogo ana kosa kwanini akaoe mwanamke alieachika? All in all malipo ni hapa hapa subiri zamu yako
 
Unawaona wanakupenda sana ila nakuhakikishia wana mpango wao nyuma ya pazia kuhusu wewe... Trust me
 
Namuombea tu mkewe na yeye ampende kwa upendo huo huo wa mumewe. Kweli mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe
Mkuu mm ni rahisi sana kunihukumu kwa sababu nimesema...lkn hujui huyo unayeishi naye tabia zake ambazo ww anajitahidi usijue. Hapa wala sijisifii,me nimekuja kujuta na nnakaribia kupona hili tatizo. Na mm zaidi ya huyu sijawahi kumcheat mtu mwingine. Lkn kuna wanaume me nawajua,wameoa lkn wananunua hadi makahaba na kubadili madem. Lkn wake zao hawajui. Mazingira na maisha ya dar,yanaruhusu sana kucheat mkuu. Wanaume wote wanachepuka...nasema wote ingawa wa mama hamtaki kulisikia hili.
 
Huyo mwanamke ni mjinga, ila wewe ni mjinga zaidi...

Na kinachowafanya mshindwe kuachana ni kwa sababu wote mpo kwa ajili ya ngono ya chap chap hakua kingine...

Utafiti umegundua kwamba, ni kazi sana kuachana na mwanamke ambae upo nae kwa ajili ya ngono tu na muda wowote unapomuhitaji anakuja...



Cc: mahondaw
 
Huyo kijana aliyemuoa binti anakulia timing tu akupake Ky au mate then amalize mchezo....In short jiandae kuwa bottom
 
Ajabu wee unamhurumia wa mwenzio ila wako watu hawamhurumii, fanya maamuzi magumu ukiamua kuachana nae unaweza sana tu sema hujaamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…