Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mke wa mtoa mada hana uchi?Daaah kwa kweli inasikitisha sana yaani hawa wanawake. Au mumewe sio rijali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa mtoa mada hana uchi?Daaah kwa kweli inasikitisha sana yaani hawa wanawake. Au mumewe sio rijali.
Hahaa heshima new version"nimeoa lakini naiheshimu familia". Good luck kwa hii heshima yako.
Na mimi nimeelewaAnd here we go.
Than i rest my case[emoji119][emoji119][emoji119]
And wanajisifia kabisa na kujazana ujinga humu. Lord have mercy.Hahaa heshima new version
I know darling.Na mimi nimeelewa
Namuombea tu mkewe na yeye ampende kwa upendo huo huo wa mumewe. Kweli mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe@heaven sent njoo mama uone new kind of love.
Kati ya upuuzi sitaki kuusikia na siwezi kuuelewa hata uujustfy vipi ni huu wa "all men cheat". Wewe jitetee tu kwa nafasi yako kwa upuuzi unaoufanya usitafute huruma ya watu kwa kuwajumuisha watu kwenye upuuzi wako.
Amen.Namuombea tu mkewe na yeye ampende kwa upendo huo huo wa mumewe. Kweli mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe
Unawaona wanakupenda sana ila nakuhakikishia wana mpango wao nyuma ya pazia kuhusu wewe... Trust meNashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
Mkuu mm ni rahisi sana kunihukumu kwa sababu nimesema...lkn hujui huyo unayeishi naye tabia zake ambazo ww anajitahidi usijue. Hapa wala sijisifii,me nimekuja kujuta na nnakaribia kupona hili tatizo. Na mm zaidi ya huyu sijawahi kumcheat mtu mwingine. Lkn kuna wanaume me nawajua,wameoa lkn wananunua hadi makahaba na kubadili madem. Lkn wake zao hawajui. Mazingira na maisha ya dar,yanaruhusu sana kucheat mkuu. Wanaume wote wanachepuka...nasema wote ingawa wa mama hamtaki kulisikia hili.Namuombea tu mkewe na yeye ampende kwa upendo huo huo wa mumewe. Kweli mwanaume mpumbavu hujisababishia kifo chake mwenyewe
Yeah hii inaweza kuwa kweli kabisa!!Unawaona wanakupenda sana ila nakuhakikishia wana mpango wao nyuma ya pazia kuhusu wewe... Trust me
Mimi nilimweleza ambaye alikuwa na bwana'ke kwamba simtaki akanitishia kweli. ila nikayashinda majaribu. Ila nilizaa nDaaah kwa kweli inasikitisha sana yaani hawa wanawake. Au mumewe sio rijali.