Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Dem wa stahili hio haachiki
 
Hatukuhumu; ila tunasisitiza kuwa unachokifanya sio sawa kwa sababu; though unaonesha kuwa unataka kuacha, bado unajustify kuwa unachokifanya ni sahihi, only that mtu unayefanya naye ndiyo sio sahihi. Hujisikii vibaya unavyomfanyia mkeo; ila unataka tu kumuacha huyo dada kwa sababu unamuonea huruma huyo mume mwenzio. Hongera kwa kujali ndoa ya wenzako; ilhali ndoa yako unaipandikizia uharibifu. So it's possible ukaachana na huo mchepuko na ukipata mchepuko mwingine ambao upo single/haujaolewa; ukaendelea nao kwa raha zako tu.

Kwa kumalizia tu; mtu yeyote timamu anakuwa responsible na choices zake. Mwanaume mzima kusema unachepuka eti kwa kuwa tu wanaume wote wanacheat; ni upumbavu wa hali ya juu. Kama unaona kucheat ni sawa, cheat tu kwa sababu umeamua. Afu usitujie na excuse za namuheshimu mke wangu blah blah; utaiita heshima kama mkeo akiwa anavulia watu nguo huko nje as long as hakuoneshi? Heshima huku unamdhalilisha mkeo kwa mchepuko wako na unamuweka kwenye risk ya magonjwa? Man up bana wewe alaaaaaah.
 
Shukrani mkuu!
 
Wazazi wa kike si wa kuwaamini kwa mabint zao. Hilo ni jambo la kawaida sana na nalo fahamu kabisa
 
Really bro. Hii nimewahi kuona asee
 
[emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531]
 
Hii ndio shida ya kuoa familia zisiomjua mungu
 
Unadai mnaheshimiana na maza, heshima ipo wap
 
Kaz kwelikweli ila inaonekana huyo mke wenu yuko vizur kwny 6×6 maana huyo unaemwita dogo alishadata we nae ulishadata huo ndo ukweli.
Ila jombaa chukua hatua ya kuachana na mke wa mtu. Ipo siku utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…