Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Dem wa stahili hio haachiki
Huyo mwanamke ni mjinga, ila wewe ni mjinga zaidi...

Na kinachowafanya mshindwe kuachana ni kwa sababu wote mpo kwa ajili ya ngono ya chap chap hakua kingine...

Utafiti umegundua kwamba, ni kazi sana kuachana na mwanamke ambae upo nae kwa ajili ya ngono tu na muda wowote unapomuhitaji anakuja...

Cc: mahondaw
 
Mkuu mm ni rahisi sana kunihukumu kwa sababu nimesema...lkn hujui huyo unayeishi naye tabia zake ambazo ww anajitahidi usijue. Hapa wala sijisifii,me nimekuja kujuta na nnakaribia kupona hili tatizo. Na mm zaidi ya huyu sijawahi kumcheat mtu mwingine. Lkn kuna wanaume me nawajua,wameoa lkn wananunua hadi makahaba na kubadili madem. Lkn wake zao hawajui. Mazingira na maisha ya dar,yanaruhusu sana kucheat mkuu. Wanaume wote wanachepuka...nasema wote ingawa wa mama hamtaki kulisikia hili.
Hatukuhumu; ila tunasisitiza kuwa unachokifanya sio sawa kwa sababu; though unaonesha kuwa unataka kuacha, bado unajustify kuwa unachokifanya ni sahihi, only that mtu unayefanya naye ndiyo sio sahihi. Hujisikii vibaya unavyomfanyia mkeo; ila unataka tu kumuacha huyo dada kwa sababu unamuonea huruma huyo mume mwenzio. Hongera kwa kujali ndoa ya wenzako; ilhali ndoa yako unaipandikizia uharibifu. So it's possible ukaachana na huo mchepuko na ukipata mchepuko mwingine ambao upo single/haujaolewa; ukaendelea nao kwa raha zako tu.

Kwa kumalizia tu; mtu yeyote timamu anakuwa responsible na choices zake. Mwanaume mzima kusema unachepuka eti kwa kuwa tu wanaume wote wanacheat; ni upumbavu wa hali ya juu. Kama unaona kucheat ni sawa, cheat tu kwa sababu umeamua. Afu usitujie na excuse za namuheshimu mke wangu blah blah; utaiita heshima kama mkeo akiwa anavulia watu nguo huko nje as long as hakuoneshi? Heshima huku unamdhalilisha mkeo kwa mchepuko wako na unamuweka kwenye risk ya magonjwa? Man up bana wewe alaaaaaah.
 
Mkuu huo ni ushereheshaji Kwa upana wa fasili ya Andiko la kitabu cha

MATHAYO 5 mistari ifuatayo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

22 Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.

23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,

24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.

25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.

26 Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.

27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Shukrani mkuu!
 
Kuna sentensi mbili zimenifanya niwaze mbali sana, unaposema uhusiano wenu hadi mama yake binti anaujua na ambapo jamaa alituma sms mwambie achomoe upokee simu kwanza daah i can't feel namna hao watu wawili wanavyojiskia, Mama yake binti na mumewe!! [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Wazazi wa kike si wa kuwaamini kwa mabint zao. Hilo ni jambo la kawaida sana na nalo fahamu kabisa
 
Mama wa mabinti wengi wao huwa support binti zao hasa kama anaona kbs bintiye ana furaha na anachokifanya, mbaya zaidi me uwe na tabia ya kuhudumia aaaah wamama mbona hata nyumbani kwake sometimes anakuandalia mazingira unaenda kuchapa bintiye.

Speaking from experience
Really bro. Hii nimewahi kuona asee
 
Hatukuhumu ila tunasisitiza kuwa unachokifanya sio sawa kwa sababu though unaonesha kuwa unataka kuacha; bado unajustify kuwa unachokifanya ni sahihi, only that mtu unayefanya naye ndiyo sio sahihi. Hujisikii vibaya unavyomfanyia mkeo; ila unataka tu kumuacha huyo dada kwa sababu unamuonea huruma huyo mume mwenzio. Hongera kwa kujali ndoa ya wenzako; ilhali ndoa yako unaipandikizia uharibifu. So it's possible ukaachana na huo mchepuko na ukipata mchepuko mwingine ambao upo single/haujaolewa; ukaendelea nao kwa raha zako tu.

Kwa kumalizia tu; mtu yeyote timamu anakuwa responsible na choices zake. Mwanaume mzima kusema unachepuka eti kwa kuwa tu wanaume wote wanacheat; ni upumbavu wa hali ya juu. Kama unaona kucheat ni sawa, cheat tu kwa sababu umeamua. Afu usitujie na excuse za namuheshimu mke wangu blah blah; utaiita heshima kama mkeo akiwa anavulia watu nguo huko nje as long as hakuoneshi? Heshima huku unamdhalilisha mkeo kwa mchepuko wako na unamuweka kwenye risk ya magonjwa? Man up bana wewe alaaaaaah.
[emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531]
 
Mkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
Hii ndio shida ya kuoa familia zisiomjua mungu
 
Unadai mnaheshimiana na maza, heshima ipo wap
 
Kaz kwelikweli ila inaonekana huyo mke wenu yuko vizur kwny 6×6 maana huyo unaemwita dogo alishadata we nae ulishadata huo ndo ukweli.
Ila jombaa chukua hatua ya kuachana na mke wa mtu. Ipo siku utajuta
Mkuu hivyo vitu nimefanya sana,lkn ujue anapafahamu ofisini kwangu,lkn yeye anasema na siyo yeye tu,hata mama yake anasema km tatizo ni huyo mwanaume yy yupo tayari kuondoka. Mkuu ktk kutafuta jinsi ya kumuacha huyo dada,nilishawahi tena mwezi uliopita tu,nilichukua laini tofauti na zangu,nikajifanya me ni rafiki yake na huyo mwanaume lkn sitaki anijue. Nikamtumia SMS kumwambia kuwa kuna jamaa anatembea na mke wake,lengo langu achukue hatua za kumuogopesha. Yaani nilimueleza mpka muda anaopenda kupita. Nilimtumia maelezo mazuri sana..yy akawa ananipigia simu kutaka anijue nikawa sipokei. Cha ajabu jioni alivyorudi nyumbani,akamuonyesha mkewe zile SMS huku akisema kuna mbea anataka kutuchonganisha hapa hebu ona hizi SMS...!! Demu akazipiga screenshot akanitumia halafu akazifuta. Jamaa wala hakutilia maanani!
 
Back
Top Bottom