Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Bro hii ni hatari! Unajua si halali kwako na ujue kabisa kuna watu watakuwa wameshamwambia mumewe sababu hakuna mahusiano ya namna hii yanayodumu kwa siri kwa muda mrefu!

Huyo mama mtu ameshamharibu mwanaye na Huyo binti hana maadili kabisa, asije siku akakuletea aibu ukashangaa!

Najua kwa nini inakushinda kutoka huko, kwanza nguvu ya uharibifu imewameza Wote wawili na kwa sababu hamna haki nguvu hiyo inawamiliki na mwisho wake ni mbaya kuliko unavyotegemea! Kama umeamua kweli kumuacha lazima uwe na sababu za msingi sana zinazoendana na maadili ya ndoa na si kwa sababu eti unamhurumia mumewe.

Kuna mambo mengi nayaona lkn ujue umetumbukia kwenye shimo, kuna impact kubwa sana nyuma ya jambo hili huenda hata usijue. Nadhani bwana Mshana akichangia hapa anaweza kukupa kwa haraka zaidi madhara ya ndani, sababu haya ya nje kila mtu anayajua nawe mwenyewe unayajua ndo maana unataka kutoka
Mkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
 
Maisha ni machaguo na wewe umechagua hivi ulivyosimulia unafanya
Always there is a choice
 
Mkuu mimi siwezi kuongea sana, wengi wameongea na kuchangia mengi fanya ufanyavyo achana na uyo mke wa mtu ni heri utembee na kahaba lakini sio mke wa mtu
 
Kama kunakitu ambacho huwa kinaumiza sana wanaume ni pale anapobaini mke wake anagongwa na mtu mwingine, maumivu yake huwa hayafutiki kirahisi. Huyo jamaa inaonyesha bado anamwamini sana mke wake. Ila za mwizi ni 40. Kuna siku mtoa mada utakuja kugeuzwa bucha.
 
Nakuelewa sana unachokieleza ndugu, nilikumbana na hilo, nililazimika kuhama eneo lile ikabaki mawasiliano tu, cha ajabu mama wa binti alikuwa yupo radhi ampe bintiye nauli anifuate niliko lakini nilikaza hasa( yataka ujasiri sana hasa HURUMA) yule mama alikuwa ananitumia picha za bintiye kakonda kwa mawazo na stress kwa madai ya kwamba mimi ndiye sababu ya yy kuikosa furaha ktk maisha yake. Ni story ndefu sana

Mzee wa kazi mbalizi1 haya mambo magumu sana siyo [emoji1549]
 
@heaven sent njoo mama uone new kind of love.

Kati ya upuuzi sitaki kuusikia na siwezi kuuelewa hata uujustfy vipi ni huu wa "all men cheat". Wewe jitetee tu kwa nafasi yako kwa upuuzi unaoufanya usitafute huruma ya watu kwa kuwajumuisha watu kwenye upuuzi wako.

There is exceptional to Every general rule
Hapa umeandika ukweli mtupu
 
Mkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
Hiyo ndo laana ya kuvunja kiapo cha ndoa....! Hapo usipoangalia lazima ndoa moja ivunjike utaamua mwenyewe.......

Si unajifanya una huruma sana unashindwa kumuacha,ngoja uachwe wewe na mkeo na hicho ndicho kinachofuata...
 
Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya ijjmaa kuu.

Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nna hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero kubwa sana kwangu.

Mm ni kijana wa zamani kidogo umri wangu ni 40+ lkn huyu binti umri wake ni 25. Nilianza kudate naye tangu mwaka 2016. Huyu binti aliolewa mapema sana aliolewa mwaka 2011,baada tu ya kumaliza elimu ya Msingi. Na mwaka 2013 akawa amepata mtoto. Amedumu ktk hiyo ndoa hadi mwaka 2015.akaachika baada ya kushindana tabia na mwanaume huyo.

Baada ya kurudi kwao,ndo nikabahatika kukutana naye kuna siku alikuja ofisini kwangu kupata huduma,akanivutia na tukaongea mawili matatu kisha tukapeana contact safari ikaanzia hapo. Na tarehe 14 February mwaka 2016 rasmi nikaanza kudate naye.

Aisee kwanza sikutegemea km ningeweza kudumu naye kwa kipindi kirefu kwa jinsi nilivyokuwa namchukulia.

Lkn ndo hivyo nimejikuta npo naye hadi leo. Sikuwahi kumuahidi kumuoa. Mwaka juzi 2017 mwishoni,akachumbiwa,me hakuniambia. Alichumbiwa mwezi wa 11. Baada ya kuchumbiwa,kwa kiasi fulani akapunguza usumbufu kwangu,na mm wala sikumfuatilia. Lkn siku moja mwaka jana,akaja ofisini akinilalamikia me namchunia na maneno meengiii...!!

Siku hiyo alibaki hapo hadi muda wa kufunga. Nikafunga nikaenda naye kupiga show,me nikamuacha lodge nikaenda kulala kwangu,lkn siku hiyo ndo akaniambia km anataka kuolewa. Aisee,nilifurahi sana moyoni. Lkn akaniambia anataka idhini yangu,km nipo tayari aolewe lkn nisimuache.

Kwa vile me nilijua anaenda kuwa mke wa mtu, nikamwambia asijali. Huku me nikijua kabisa hii ndo nafuu yangu. Kweli taratibu za ndoa zikaendelea na hatimae akaolewa mwaka jana mwezi wa 8.

Cha ajabu nilivyoona kweli anaolewa,kuna hali ya wivu ikaanza kuniingia. Siku ya ndoa ilikuwa jmosi,nikamlazimisha siku moja kabla ya ndoa lazima nipige mashine,demu akasema ww tu yaani hata ukitaka siku yenyewe. Nikamwambia basi tufanye siku ya ndoa mapema alfajiri.

Me nikaenda kulala lodge ya karibu kabisa na huko kwao,nikampa maelekezo kweli saa 11 alfajiri akapiga simu anakuja. Nikapiga mashine hadi saa 2 asbh.

Binti akaolewa kweli. Tangu siku hiyo ya jmosi hakupatikana kwenye simu. Tulikubaliana kwamba,akiolewa atakaa ndani siku 7.( Nasikia hizo siku huwa ni za fimbo tu). Lkn demu kwa mazoea ambayo alishajijengea kwangu,alishindwa kumudu zile kumaliza zile siku 7. Jtano tu ya wiki iliyofuata akanitafuta na tukaonana. Tukayajenga na kesho yake mzigo nikapiga tena.
Tumefanya mengi sana na huyu dada lkn sasa kusema kweli,najisikia vibaya sana naona namnyanyasa sana huyu dogo aliyemuoa.

Maana mwanamke kwa sasa kawa km mtumwa kwangu. Yaani hata akiwa na mmewe ukimwambia njoo,hata km alikuwa anapika ataacha kila kitu.

Kiukweli nimeshajaribu sana kumwambia tuachane lkn inashindikana kwa sababu ya jinsi tulivyozoeana. Uhusiano wetu hata mama yake anaujua.

Natamani sana nimuache lkn nashindwa. Nitumie njia gani ambayo haitakuwa na madhara kwa pande zote!?? Yaani huwa namhurumia sana jamaa,mfano demu nikiwa naye jamaa anapiga simu hazipokelewi. Mfano juzi hakuenda kazn,mchana akaja tukawa wote,baadae mumewe akawa anapiga simu lkn simu ikawa silent,na wakati huo sisi tunafanya yetu. Alivyopiga simu sana na simu haipokelewi,akatuma SMS akisema mwambie achomoe kwanza upokee simu..! Nilijisikia vibaya sana,na baadae dem alivyofika nyumbani akaongea naye akasema alitoka lkn simu aliacha ndani,maana jamaa alikuwa kazini. Na jamaa hagusi kabisa simu ya mkewe. Na demu huwa hafuti SMS wala picha zetu na anajiamini kwa sababu simu ina password. Kiukweli me kwa sasa natamani kumuacha...maana hata mke wangu alishahisi km natembea naye. Naombeni nichukue njia gani kuachana naye!??

Nawasilisha kwenu.
Wewe ni mwanaume katili. Ukiona unakula vya watu na vyako vinaliwa pia.
 
Toa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana. Umesoma lkn maelezo yangu, huyu binti npo miaka miwili nyuma kabla hajaolewa!?? Mapenzi siyo km nguo kwamba unaweza kuamua tu kuacha kuivaa...!! Huyu ni mtu niliye naye kwa miaka 3+ hapa nimekuja kupata mawazo mapya siyo kwamba mm hakuna hatua nilizojaribu kuchukua.
Acha kujitete upuuzi wako,muache mkeo basi!! Unashindwaje kumuacha mchepuko? Mkeo una miaka mingapi nae? Unampenda kweli mkeo au upo nae tu sababu mmezaa na mnandoa??

Unajiendekeza tu ..... ila soon utavuna ulichopanda.

Nenda kwa mama yake kamwambie huyu kaolewa na mume wake ameshamjibu hivi juu yangu....! Wewe si unashindwa kumuacha mwambie mkweo avunje hiyo ndoa ya binti yake umuoe wewe! Na umuache mkeo usimpotezee muda uje kumuua kwa uchafu wako...
 
Wanakulaumu tu ila nakuelewa sana nafasi uliopo.

Sasa sikia mi mdogo ako ila acha ufala.

Mfosi kufuta sms.

Mfosi kupokea simu.

Mfosi alale.

Mfosi ampikie mumewe.

Mfosi kukutana kuwe kwa mipango.

Mfosi vitu vingi ambavyo vitamfanya atimize majukumu kama mke wa mshkaji.

Ni namna pekee utamsaidia jamaa kama kweli unamuonea huruma.
Namna ya kumsaidia ni kuachana na mkewe
 
Back
Top Bottom