Ungeniita jamaan nijichekeeSijui alifanya nini hata.. Alikuwa mpole na ile id yake ya dhambi.. Utafikiri Mtakatifu Makrina
AhahhahaHeheheee
Waache Wapambane na hali zao
Ebu kuja hapa eti unatafutwa na nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiongee sana mama yeyoo. Subiri kidogo hili vumbi litulie kwanza. Umeshaambiwa huu ubuyu jnaweza kupelekea JF kuwa zilipendwa
HallelujahMimi ni nyani mzee, kwa mishale nilio ikwepa......[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Inabidi nimtumikie tu Mungu....
Mmh sakayo ebu ukuje huyu muhenga mbona simuelewi mieUsinikumbushe aiseeeee.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Eti namuona jamaa anavyo jibebisha naye humu kwenye majukwaaaaaa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe wahenga wanasemaga, nguo ya zamani = na dekio jipya....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aiseee mpaka wewe kakuacha himoHapoo umeniacha kabisa yaani
Na mie nakujaEbu twende kule tunapo ongea lugha ya kunena
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda kulala mie nawaacha mjueUko vizuri shunie[emoji23] [emoji23]hutaki kupitwa.
Haha [emoji23]Ungeniita jamaan nijichekee
Mwenyewe simuelewiiMmh sakayo ebu ukuje huyu muhenga mbona simuelewi mie
Yaani we acha tuuAiseee mpaka wewe kakuacha himo
Hivi ulishindwa hata kunipigia mbona mbaya hiviHaha [emoji23]
Ulikuwa wapi.. Ila ni siku nyingi
Poa ulale salama shunieNaenda kulala mie nawaacha mjue
Na kwako pia Youngblood [emoji120] [emoji7]Poa ulale salama shunie
Haha [emoji23]Hivi ulishindwa hata kunipigia mbona mbaya hivi
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Haha [emoji23]
Kama Nakuona vilee