Nina umbea wa hatare, natamani nimwambie mtu

Ulete tu. Ila usisahau kuufungulia uzi mpya na usisahau kunitag
 
Matafute Dj Sepetu akisaidiana na Bill Sepenga watakusaidia kuurusha hewani!!
 
Acha unoko
Mara paaap tunaingia makubaliano mazuri ya 50 kwa 50 kama yale ya Tanzania na Accasia!!.......uwiiiiiiiiiiiii,walahi ningebadilisha hadi avatar niweke ambayo niko more handsome my dear!!
 
Mara paaap tunaingia makubaliano mazuri ya 50 kwa 50 kama yale ya Tanzania na Accasia!!.......uwiiiiiiiiiiiii,walahi ningebadilisha hadi avatar niweke ambayo niko more handsome my dear!!
Umenipoteza...fanya tuweke mengine mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…