Nipo busy wosap nawachimba X na YSijamtaja kwa Ubaya... Anatupia like ya woga ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini umtaje jiwe dada lakini
Ukimaliza kuwachimba X na Y ukuje huku basiNipo busy wosap nawachimba X na Y
Nisawa na kuku akila mchele, usiku analiwa na wali.Angalia usivunje sheria za Jf.
JamiiForums Rules
Mbona huitikii shikamoo yangu lakini maelezo ya aunt ni ya ubuyu baba yeyoo ujue ebu tuma jaman ndoo ndogo tu
MmmmhNa mm namuona ujue halaf si kawaida yake kabisa teh
[emoji23][emoji23]ebu huko tuletee ubuyu wetu na salaam yangu uitikieNgoja kwanza hili sakata lipite, ohooo unaweza kukuta ubuyu unanihusu!!!!! Hiyo salaaam ntaitikia tu rafiki
Ngoja nikuje na ile Username nyingine, maana ndio ilisha shindikana kwa ubuyu mtakatifu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mm namuona ujue halaf si kawaida yake kabisa teh
Mie Sijambo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi ile id imekukosea ninii lakiniNgoja nikuje na ile Username nyingine, maana ndio ilisha shindikana kwa ubuyu mtakatifu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli.
Na ni kweli kwa sababu hakuna mechanism ya kuthibitisha chochote kile.
Kwa hiyo jambo linabaki kuwa la kiimani zaidi. Ama uamue kuamini au uamue kutokuamini.
Nipo busy na wifi wako mpya kwa upande huu....[emoji85] [emoji85]Ni ninii lakini mbona unapita mbali hivi
Wifi yupi sasa sakayo ebu kujaNipo busy na wifi wako mpya kwa upande huu....[emoji85] [emoji85]
Ukimaliza ukuje kule tunapoongea lugha mojaNipo busy wosap nawachimba X na Y
We si huipendiiHivi ile id imekukosea ninii lakini
[emoji23][emoji23]ebu huko tuletee ubuyu wetu na salaam yangu uitikie
Nimeipea likizo kwa muda wakati nikimtumikia Mungu.....Hivi ile id imekukosea ninii lakini