Nina umbea wa hatare, natamani nimwambie mtu

Nina umbea wa hatare, natamani nimwambie mtu

Mbona huitikii shikamoo yangu lakini maelezo ya aunt ni ya ubuyu baba yeyoo ujue ebu tuma jaman ndoo ndogo tu

Ngoja kwanza hili sakata lipite, ohooo unaweza kukuta ubuyu unanihusu!!!!! Hiyo salaaam ntaitikia tu rafiki
 
Hakikisha tu usiwe mchochezi kama unadhani una uhuru huo not to that extent
Kwahiyo watch out!!
 
Ni kweli.

Na ni kweli kwa sababu hakuna mechanism ya kuthibitisha chochote kile.

Kwa hiyo jambo linabaki kuwa la kiimani zaidi. Ama uamue kuamini au uamue kutokuamini.

Dah! Kuna watu wabaya mkuu, hata umkamate na kidhibiti, anakataa tena anakuangalia usoni bila wasiwasi.
 
Hizo reply hapo juu zinaonyesha ni kiasi gani watu tunapenda story za umbea.mimi.binafsi sizitaki hizo story.baki nazo mwenyewe
 
Back
Top Bottom