Nina umbea wa hatare, natamani nimwambie mtu

Nina umbea wa hatare, natamani nimwambie mtu

Kabla hujasema huo umbea, wewe ni me au ke?

Kama ni me basi wala usilete umbea maana siyo tabia ya me kusema umbea
 
Teh
Ngabu umewahi foleni
Hahaa hapa sidhani kama kuna la maana zaidi ya kuwapandisha watu nyege tu.

Hata wewe kesho waweza kuja na habari za ubuyu wenye pilipili kumhusu Ngabu na ukawa umetunga tu....halafu uone reaction itavyokuwa....si ajabu PM yako itajaa!!

Ni rahisi sana kuchezea akili za baadhi ya watu humu.
 
Back
Top Bottom