Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mzeee wa niniii vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzeee wa niniii vile
Ahahhaha wapi huko na alifanyajeKuna siku alichambwa huyooo
Na mm ndio nilivyowaza ujue sema anajikamatisha mwenyewe kuna maneno yake flani hajayaacha kwenye hii idNahisi hivyo.. Kila mmoja ako na id yake
Haha [emoji23]Usiniambie kumbe anatafutwa
Ile yenyewe B52 silaha ya maangamiziNaam.....
Ile ndio kitendea dhambi
Aiseeee pole yakeHaha [emoji23]
Na akipatikana kwisha habari yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usingizi umekata[emoji23], nasubiri ubuyu
Sijui alifanya nini hata.. Alikuwa mpole na ile id yake ya dhambi.. Utafikiri Mtakatifu MakrinaAhahhaha wapi huko na alifanyaje
Hapana aisee,wote mtaondoka mtaniacha hapaRudi kulala bana
Hapana bhana......Nahisi hivyo.. Kila mmoja ako na id yake
HeheheeeNa mm ndio nilivyowaza ujue sema anajikamatisha mwenyewe kuna maneno yake flani hajayaacha kwenye hii id
Tatizo mie muhenga, nina lugha ngumu sana.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Sasa who is who!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiniambie kumbe anatafutwa
Ubuyu wa leo si mchezo,unaweza ukalala ukapitwa na mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifanya nimecheka hadi watoto wameniuliza....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ahahaha[emoji23] [emoji23] hapo ukifunua vibaya mvuke wake unaweza kuunguza uso.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba yeyoo auntie haumuhusu kabisa ujue namwamini
Mimi ni nyani mzee, kwa mishale nilio ikwepa......[emoji2] [emoji2] [emoji2]Na mm ndio nilivyowaza ujue sema anajikamatisha mwenyewe kuna maneno yake flani hajayaacha kwenye hii id
Kama sikuweza kuisha 2014, basi ujue ndio nishatoboa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Haha [emoji23]
Na akipatikana kwisha habari yake