Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Kiafrika Afrika, miaka 30 kwa mwanaume ndio kwanza kunakucha. Angekuwa mwanamke au mchezaji wa mpira, umri huo tungesema ni Mzee.Miaka 30 bado unasubiri kupewa ramani na bro wako.
Hauko serious na maisha.
NimekuelewaMiaka 30 bado unasubiri kupewa ramani na bro wako, si uingie mtaani upambane.
Hauko serious na maisha.
Kwa jinsi alivyojielezea ni kama kila kitu anasubiri muongozo kwa kaka yake as hana option nyingine yeye binafsi.Kiafrika Afrika, miaka 30 kwa mwanaume ndio kwanza kunakucha. Angekuwa mwanamke au mchezaji wa mpira, umri huo tungesema ni Mzee.
Hajachelewa, aende kwa mafundi akajitolee ili aongeze ujuzi
Mwambie Kaka yako akulipie nusu ya gharama bodaboda..nyingine utalipa mwenyewe taratibu..uanze kazi ya bodaboda..Tena fanya fasta..fanya kazi hii wakati ukijipanga kufanya unayotakaHabarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana.
Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu.
Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es salaam.
Bac baada ya kuja huku alinipeleka kwa mtu mmoja kwa ajili ya kunifunza ufundi wa Cctv ila mambo ayakwenda vzr baadae akanipeleka dit nikajifunza ufundi wa simu. Ila baadae tukaja gundua pale chuo wanapiga brash tu lakini ufundi kamili unakuwa bado auko fresh baada ya kumaliza nikaonekana bado sijawa fiti. Ila kwa kipindi chote hicho nipo na bro kapanga chumba kimoja.
Basi nikaamua kutulia kwanza home kumbuka hapo tayari nishamaliza miaka miwili na sijapiga hatua yoyote na hapo bro kashatumia kama milioni hivi kwa ajili yangu lakini ni kama amna alichokifanya sometime naona kabisa kama anasononeka maana kajitoa sana kwa ajili yangu ili nifanikiwe lakini inaonekana kama hakuna kitu alichokifanya na kila siku lazima aniachie hela ya matumizi.
Sasa hicho kitu kinaniumiza sana moyo hapa tayari nishamaliza miaka mitatu ila bado sina chochote na mbaya zaidi majirani pia wameanza kuniletea dharau kuna kibinti flani hv nilikitongoza pia kinanipenda sana sasa walivyojua wakaanza kumjaza maneno kwamba mimi sina chochote ndio maana miaka yote naishi kwa kakaangu ilimbidi yule binti aniache halafu mbaya zaidi hapo tunapokaa vijana wengi ni umri wangu na tayari wameoa na wengine wana magari yao kiukweli naona aibu sana hata nivae vizuri bado inaonekana sio chochote naambiwa nafugwa kiukweli hii hali inaniumiza sina pesa ila hapa nawaza kuuza simu yangu niende nikatafute chumba uswahilini huko nilipe hata miezi mitatu halafu nianze kujichanganya kitaa kuliko hizi fedhea nazozipata hapa home.
Note: umri wangu ni miaka 30 naombeni ushauri ndugu zangu nipo katika msongo mkubwa wa mawazo.
Miaka 30 bado unasubiri kupewa ramani na bro wako, si uingie mtaani upambane.
Hauko serious na maisha.
Vp kaka na wazo langu la kuhama inalizungumziaje?Kiafrika Afrika, miaka 30 kwa mwanaume ndio kwanza kunakucha. Angekuwa mwanamke au mchezaji wa mpira, umri huo tungesema ni Mzee.
Hajachelewa, aende kwa mafundi akajitolee ili aongeze ujuzi
✔️✔️✔️Elimu ya bongo, huwezi maliza mafunzo alaf ukawa competent.
Kwavile ushapata basic knowledge ya ufundi simu, sogea kariakoo au kwa fundi yoyote wa hayo mambo, muombe uwe Msaidizi wake bila malipo, lengo ikiwa ni kupata ujuzi.
Baada ya hapo mambo yatajiset. Ila ukisema uanze kutongoza madem na huku hujajua unatoboaje, mwaka huu pia utaisha ukiwa kwa kaka yako.
Utahama huna kipato? UtaishijeVp kaka na wazo langu la kuhama inalizungumziaje?
Miaka 30 bado unasubiri kupewa ramani na bro wako, si uingie mtaani upambane.
Hauko serious na maisha.
Vipi kaka na wazo langu la kuhama unalizungumziaje?Kiafrika Afrika, miaka 30 kwa mwanaume ndio kwanza kunakucha. Angekuwa mwanamke au mchezaji wa mpira, umri huo tungesema ni Mzee.
Hajachelewa, aende kwa mafundi akajitolee ili aongeze ujuzi
Ila naona aibu kwa dharau nazoletewa hapa japo siku zote mimi huwa sishindi home huwa nakuwa Kariakoo kutafuta ramaniUtahama huna kipato? Utaishije
Baki hapo mradi hujafukuzwa ila weka juhudi ya kazi
Ahsante mkuuKwa sasa ningekushauri upotezee ishu za madem maana hawatokuwa na chochote cha kuongezea zaidi ya kumaliza hata kidogo ulicho nacho na kuzidisha stress.
Pili Kwa uzoefu uliopata wa mambo ya simu tafuta pahala pa kujishikiza Kwa fundi yoyote wa simu au hata hapo kitaa au chuo chochote kile cha Dar fungua Ka ofisi Ka meza na Kiti Kwa maswala la urekebishaji WA simu zenye tatizo.
Naona aibu kwa maneno nayoongelewa hapa home kwamba mimi nafugwaUnaona aibu wenzako kua na gar.....duuuh uchoko plus
Sijashindwa tatzo sina connection hata ya kupata kazi nilishaomba humu hata kuwa kama kibarua sikupata msaadaUmeshindwa ufundi wa CCTV?
Kuna kitu gani kigumu kwenye installation ya CCTV camera?