Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
Achana na maneno ya watu, wapuuzeIla naona aibu kwa dharau nazoletewa hapa japo siku zote mimi huwa sishindi home huwa nakuwa kariakoo kutafuta ramani
Achana na maneno ya watu, wapuuzeIla naona aibu kwa dharau nazoletewa hapa japo siku zote mimi huwa sishindi home huwa nakuwa kariakoo kutafuta ramani
Sasa bro aibu ya nin mwanaume haoni aibu bali utakiwa ukaze zaidiNaona aibu kwa maneno nayoongelewa hapa home kwamba mimi nafugwa
HUU MWANDIKO WA MTU MWENYE MIAKA 30, AFU MWANAUME..!! Ukiendelea hivi hutoboi..!! Kajichanganye kwenye mazege hukoHabarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana.
Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu.
Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es Salaam.
Basi baada ya kuja huku alinipeleka kwa mtu mmoja kwa ajili ya kunifunza ufundi wa CCTV ila mambo hayakwenda vizuri, baadae akanipeleka DIT nikajifunza ufundi wa simu.
Ila baadae tukaja gundua pale chuo wanapiga brash tu lakini ufundi kamili unakuwa bado hauko fresh baada ya kumaliza nikaonekana bado sijawa fiti. Ila kwa kipindi chote hicho nipo na bro kapanga chumba kimoja.
Basi nikaamua kutulia kwanza home, kumbuka hapo tayari nishamaliza miaka miwili na sijapiga hatua yoyote na hapo bro kashatumia kama milioni hivi kwa ajili yangu lakini ni kama amna alichokifanya.
Sometime naona kabisa kama anasononeka maana kajitoa sana kwa ajili yangu ili nifanikiwe lakini inaonekana kama hakuna kitu alichokifanya na kila siku lazima aniachie hela ya matumizi.
Sasa hicho kitu kinaniumiza sana moyo hapa tayari nishamaliza miaka mitatu ila bado sina chochote na mbaya zaidi majirani pia wameanza kuniletea dharau.
Kuna kibinti fulani hivi nilikitongoza pia kinanipenda sana, sasa walivyojua wakaanza kumjaza maneno kwamba mimi sina chochote ndio maana miaka yote naishi kwa kakaangu.
Ilimbidi yule binti aniache halafu mbaya zaidi hapo tunapokaa vijana wengi ni umri wangu tayari wameoa na wengine wana magari yao kiukweli naona aibu sana. Hata nivae vizuri bado inaonekana sio chochote, naambiwa nafugwa. Kiukweli hii hali inaniumiza.
Sina pesa ila hapa nawaza kuuza simu yangu niende nikatafute chumba uswahilini huko nilipe hata miezi mitatu halafu nianze kujichanganya kitaa kuliko hizi fedhea nazozipata hapa home.
Note: Umri wangu ni miaka 30, naombeni ushauri ndugu zangu nipo katika msongo mkubwa wa mawazo.
Sijashindwa tatzo sina connection hata ya kupata kazi nilishaomba humu hata kuwa kama kibarua sikupata msaada
Sawa mkuuHUU MWANDIKO WA MTU MWENYE MIAKA 30, AFU MWANAUME..!! Ukiendelea hivi hutoboi..!! Kajichanganye kwenye mazege huko
HUU MWANDIKO WA MTU MWENYE MIAKA 30, AFU MWANAUME..!! Ukiendelea hivi hutoboi..!! Kajichanganye kwenye mazege huko
Sawa kaka lakini sina msingi wowote hata vifaa pia maana sehem nyingine inahitaji uwe na vitendea kazi vya kutoshaMafundi wa CCTV wengi huwa ni mafundi wa kujitegemea, jaribu upite maduka mengi uwezavyo wanayouza vifaa vya CCTV na uache wasifu wako hapo na namba zako za simu...
Kuna watu huwa wanaenda nunua vifaa na huulizia mafundi madukani...
Sawa kaka lakini sina msingi wowote hata vifaa pia maana sehem nyingine inahitaji uwe na vitendea kazi vya kutosha
Mwaka unaweza usiishe ukajikuta unarudi mkoani, maana kurudi kwa kaka yako utaona aibu. Embu toka tafuta ata kazi za saidia fundi, ukishakuwa na akiba ya kutosha ndo ukapange sasa.Vp kaka na wazo langu la kuhama inalizungumziaje?
Sawa mkuu nimekuelewa sanaKama una smartphone nenda kariakoo kwenye maduka ya vitu mbalimbali piga picha katangaze fb au mitandao mingine ya kijamii unapoweka bei ongeza elfu mbili katika kila bidhaa au ata 4000 ilimladi bei isiwe kubwa Sana vijana wengi wanafanya hivi wanajiita mawinga na wanamaisha mazuri tu wamepanga na wanajitegemea umesema unashindaga kariakoo naimani utakuwa unajua machimbo ya vitu kwa bei rahisi all the best hutaki kuangalia flani anasema nini kuhusu wewe weka aibu pembeni nakuhakikishia ndani ya miezi 6 utakuwa umepiga atua
Kivip mkuuwewe utakuwa ni muongo muongo
unaanzisha thread za uongo uongoKivip mkuu
VizuriElimu ya bongo, huwezi maliza mafunzo alaf ukawa competent.
Kwavile ushapata basic knowledge ya ufundi simu, sogea kariakoo au kwa fundi yoyote wa hayo mambo, muombe uwe Msaidizi wake bila malipo, lengo ikiwa ni kupata ujuzi.
Baada ya hapo mambo yatajiset. Ila ukisema uanze kutongoza madem na huku hujajua unatoboaje, mwaka huu pia utaisha ukiwa kwa kaka yako.
🤣🤣🤣Angekuwa mwanamke umri huo tungesema ni Mzee.