Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.

1733945589619.jpg

Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa dhati tulizoeshana kununuliana zawadi ikifika na birthday yake ni tarehe 16 dec.

Mume wangu ananipaga hela natunza ila kwakuwa birthday ya mpenzi wangu imefika na ni mtu ambaye amekuwa mwema kwangu amenitendea mengi mazuri nilichukuwa laki na nusu katika hela ambazo Mume wangu anipaga nitunze nikanunulia zawadi za mpenz wangu nikichukuwa marejesho nijazilishie Kabla Mume wangu hajajua

Nikamwambia shogaangu anisindikize akanisaidia kuchagua Kadeti shati boksa na kacha yenye jina lake tulipotoka sokoni nikamwambia anitunzie kwake akanikatalia akati mm za kwake namtunziaga mala nyingi tu ,nikawa Sina jinsi nikaja nazo nyumbani nikainua godoro nikaziweka Kwa chini kusubili siku ya birthday nimpelekee zawadi yake

Zikapita siku mbili xjui shetani gani ilimuingilia Mume wangu kuanza kukagua nyumba akazikuta zile zawadi aliniulza nikamwambia nilimnunulia yeye zawadi,aliposoka kacha jina la mtu mwingine ugomvi ukaanza nikabadilisha mada nikamwambia za rafiki yangu alinipa nimtunzie

Akakazana twende Kwa rafiki yangu nikamkataza tusivunje ndoa ya watu hakunielewa akanilizimisha twende kufika kule nampa shoga angu ishara anitetee aseme ni zake mana Mume wake hakwepo muda huo

Jamani jamani dada wa watu akaniruka😭 Mume wangu akampigia Mume wake akaja kikao juu ya kikao ,acha shoga angu aanze kuelezea Kila kitu hatua Kwa hatua nikaona isiwe kesi nikamueleza Mume wake tabia ya Mume wake akanikana wamenisimanga Mume wangu ananiita Malaya mbele za watu

Kaka siyo kwamba mm Malaya mimi ni aina ya mwamke ambaye nikimpenda mwanamume mmoja nampenda huyohyo siwezi kuchanganya wanaume ,Sasa huyu mpenz wangu nimetoka naye mbali nampenda Mungu shaidi na yeye ananipenda ila alini ambiaga alisema awezi nioa ila tuendelee Kuwa wapenzi akamuoa mwanamke mwingine Mimi niliona ni sawa coz ni hajatulia anabadilisha sana wanawake ndipo mm nikaolewa na huyu Mume wangu wasasa ,basi tukaendelea na mapenzi

Magical power Kilichonileta kwako Mume wangu ameondoka ameniachia mji Sina chakula Sina jinsi ya kuishi Sina pakwenda nikimtafta anakata simu Kisha anatuma meseji ety hana muda wa kuchati na Malaya😭😭loho yaniuma kaka Mimi siyo malaya Malaya ni wale wadada wanaobadilisha wanaume Mimi nipo na huyo mwanamume mmoja tyu na sijawahi shiriki tendo na mwanamume tofauti na huyu mpenz wangu Sasa kwann aniite malaya😭😭
Nisaidie nifanyeje nimrejeshe Mume wangu.

Nimepanga wiki ijayo niende dawati nikamripoti atoe matumizi ya watoto

Magical power: Ndoa ya miaka miwili watoto watatu kivipi?

ABAYA: Hawa watoto nilikuja nao

Magical power: Wote wa 3? Au Kuna wakwake kati ya hao 3?

ABAYA: Hapana wote nilikuja nao Lakini na yeye ana Mtoto mmoja Kwa mwanamke mwingine na huyo Mtoto anakaa Kwa mama yake

Magical power: Khaaah hatari sana Zima tu data uingine ndani ujifungie mlango Ulie Kwa nguvu dada angu hakuna namna , ukimaliza washa data usome comments za wadau ...mm nikikushauri Kwa huu mkasa wako utajinyonga
 
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.

View attachment 3174759

Watoto wa3 hapo ukute kila mtoto na baba yake alafu uko busy mm siyo Malaya sio Malaya 😂😂🫡
 
Zawadi ya nini kukuoa tu ni zawadi mshukuru Mungu kwa hio ndoa wanaume huwa wanatofautiana unataka kumuacha kwa kuwa hajaleta zawadi? 😁
 
Ndoa ni zawad Tosha
 
Kwanza pole kwa hayo masaibu,pili wewe ni malaya nakushauri uache huo umalaya,ushaolewa ya nini kumnunulia zawadi mwanaume wako mliyaechana,dada mabalaa kama haya mnayatafuta wenyewe
 
Mwanamke asiyejitambua Hana hata kabisa Sasa dawat la nn wakat hajazaanae hii n vituko show😆😆😆😆😘
 
Hazina yake ilipo na Moyo wake ndipo utakapokuwa...

Hayupo moyoni kwake...
 
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.

View attachment 3174759

Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa dhati tulizoeshana kununuliana zawadi ikifika na birthday yake ni tarehe 16 dec.

Mume wangu ananipaga hela natunza ila kwakuwa birthday ya mpenzi wangu imefika na ni mtu ambaye amekuwa mwema kwangu amenitendea mengi mazuri nilichukuwa laki na nusu katika hela ambazo Mume wangu anipaga nitunze nikanunulia zawadi za mpenz wangu nikichukuwa marejesho nijazilishie Kabla Mume wangu hajajua

Nikamwambia shogaangu anisindikize akanisaidia kuchagua Kadeti shati boksa na kacha yenye jina lake tulipotoka sokoni nikamwambia anitunzie kwake akanikatalia akati mm za kwake namtunziaga mala nyingi tu ,nikawa Sina jinsi nikaja nazo nyumbani nikainua godoro nikaziweka Kwa chini kusubili siku ya birthday nimpelekee zawadi yake

Zikapita siku mbili xjui shetani gani ilimuingilia Mume wangu kuanza kukagua nyumba akazikuta zile zawadi aliniulza nikamwambia nilimnunulia yeye zawadi,aliposoka kacha jina la mtu mwingine ugomvi ukaanza nikabadilisha mada nikamwambia za rafiki yangu alinipa nimtunzie

Akakazana twende Kwa rafiki yangu nikamkataza tusivunje ndoa ya watu hakunielewa akanilizimisha twende kufika kule nampa shoga angu ishara anitetee aseme ni zake mana Mume wake hakwepo muda huo

Jamani jamani dada wa watu akaniruka😭 Mume wangu akampigia Mume wake akaja kikao juu ya kikao ,acha shoga angu aanze kuelezea Kila kitu hatua Kwa hatua nikaona isiwe kesi nikamueleza Mume wake tabia ya Mume wake akanikana wamenisimanga Mume wangu ananiita Malaya mbele za watu

Kaka siyo kwamba mm Malaya mimi ni aina ya mwamke ambaye nikimpenda mwanamume mmoja nampenda huyohyo siwezi kuchanganya wanaume ,Sasa huyu mpenz wangu nimetoka naye mbali nampenda Mungu shaidi na yeye ananipenda ila alini ambiaga alisema awezi nioa ila tuendelee Kuwa wapenzi akamuoa mwanamke mwingine Mimi niliona ni sawa coz ni hajatulia anabadilisha sana wanawake ndipo mm nikaolewa na huyu Mume wangu wasasa ,basi tukaendelea na mapenzi

Magical power Kilichonileta kwako Mume wangu ameondoka ameniachia mji Sina chakula Sina jinsi ya kuishi Sina pakwenda nikimtafta anakata simu Kisha anatuma meseji ety hana muda wa kuchati na Malaya😭😭loho yaniuma kaka Mimi siyo malaya Malaya ni wale wadada wanaobadilisha wanaume Mimi nipo na huyo mwanamume mmoja tyu na sijawahi shiriki tendo na mwanamume tofauti na huyu mpenz wangu Sasa kwann aniite malaya😭😭
Nisaidie nifanyeje nimrejeshe Mume wangu.

Nimepanga wiki ijayo niende dawati nikamripoti atoe matumizi ya watoto

Magical power: Ndoa ya miaka miwili watoto watatu kivipi?

ABAYA: Hawa watoto nilikuja nao

Magical power: Wote wa 3? Au Kuna wakwake kati ya hao 3?

ABAYA: Hapana wote nilikuja nao Lakini na yeye ana Mtoto mmoja Kwa mwanamke mwingine na huyo Mtoto anakaa Kwa mama yake

Magical power: Khaaah hatari sana Zima tu data uingine ndani ujifungie mlango Ulie Kwa nguvu dada angu hakuna namna , ukimaliza washa data usome comments za wadau ...mm nikikushauri Kwa huu mkasa wako utajinyonga
Una watoto 3 bado unafuatilizia nambo ya burtday? TUNZA WATOTO WENU WEWE NA MUMEO. BIRTHDAY ZIWE ZA WATOTO TU NINYI WATU WAZIMA. NCHI HII INA WATU MILIONI 60 NA ZAIDI BIRTHDAY WANAOFANYA NADHANI HAWAZIDI MILIONI 10. ISIKUSUMBUE.PIGA KAZI YA MAMA WATOTO. KUNA KIPINDI HATA KUSALIMIANA kikubwa NI MARa chache kwa mwezi. USIJE UKASEMA HATUKUKUAMBIA
 
Ndio shida ya Kuoa mtu ambae either hajasoma au akili hana
Aisee huyo dada ni kichaa
Una watoto 3 bado unafuatilizia nambo ya burtday? TUNZA WATOTO WENU WEWE NA MUMEO. BIRTHDAY ZIWE ZA WATOTO TU NINYI WATU WAZIMA. NCHI HII INA WATU MILIONI 60 NA ZAIDI BIRTHDAY WANAOFANYA NADHANI HAWAZIDI MILIONI 10. ISIKUSUMBUE.PIGA KAZI YA MAMA WATOTO. KUNA KIPINDI HATA KUSALIMIANA kikubwa NI MARa chache kwa mwezi. USIJE UKASEMA HATUKUKUAMBIA
Boss, huyu dada ni malaya bana, labda anafikiri umalaya ni kujipanga barabarani 😀 . Sasa kaolewa, halafu ana maintain mawasiliano na mpenzi wake ambae aliweka wazi hataki kumuoa. Anachukua hela za mchizi anaongezea kununua zawadi looh. Jamaa kamstahi kamwachia kila kitu, bado anadai matumizi kwa ajili yake na watatu wake.

Jamaa yetu Mungu anampenda, asizubae atajikuta karudi nyuma aende ku file divorce tu. na dada yetu ajikague, ajirekebishe, ajitafute na atafute mwanaume mwingine. Ikishindikana aishi hivyo hivyo tu.
 
Back
Top Bottom