Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

Nina asset za si chini ya billion 8
Elimu vyuo kadhaa duniani, sawa kijana, mrefu 182, si mnene nina watoto nje ya nchi sina mtoto Mtanzania, ndo mana natafuta. Watoto wane wamarekani wawili na wa Croatia wa2.

si mlevi, sina liability nyingi. Mtanzania maji ya kunde sawa Covax
Bwahaha m-JF kwenye ubora wake,nimecheka sana aisee.

Kwa wageni ukiipitia hii post utajua namna ya wewe pia kucheza na maneno humu.
 
Back
Top Bottom