Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

Nina umri wa miaka 49 Natafuta mke awe na sifa zifuatazo

bwawani90

Senior Member
Joined
Dec 20, 2025
Posts
147
Reaction score
284
1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150 hadi 161
11. awe msafi na presentable
12. smiling face
13. kama Mama Edina
14. Akisimama mguu sawa katikati kuwe na iwazi na kaipis kwa mbaali.
15. sipendi tabia kama za Binti wa zamani
 
13. kama mama Edina
Seran vipi vigezo unavyo ujibebee mubaba 😂
 
1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150 hadi 161
11. awe msafi na presentable
12. smiling face
13. kama mama Edina
Kua fair ungeweka, kipato chako kwa mwezi assets zako liabilities zako wategemezi wako, kiwango cha elimu yako watoto wako,
 
Kua fair ungeweka, kipato chako kwa mwezi assets zako liabilities zako wategemezi wako, kiwango cha elimu yako watoto wako,
Nina asset za si chini ya billion 8
Elimu vyuo kadhaa duniani, sawa kijana, mrefu 182, si mnene nina watoto nje ya nchi sina mtoto Mtanzania, ndo mana natafuta. Watoto wane wamarekani wawili na wa Croatia wa2.

si mlevi, sina liability nyingi. Mtanzania maji ya kunde sawa Covax
 
Sawa kwahiyo unatafuta mtoto wa kitanzania ili iwe je? Huja taja kazi yako hasa ilio kufanya accumulate 8bn assets, unajua matajili kama nyie wa 8bn Tanzania nzima hamfiki hata 5000, wewe kwa utajili wako unazidi watumishi wa ummah wote kasoro Raisi waziri mkuu na viongozi wa Ikulu, kwahivo unge omba ulizi nchini
 
Sawa kwahiyo unatafuta mtoto wa kitanzania ili iwe je? Huja taja kazi yako hasa ilio kufanya accumulate 8bn assets, unajua matajili kama nyie wa 8bn Tanzania nzima hamfiki hata 5000, wewe kwa utajili wako unazidi watumishi wa ummah wote kasoro Raisi waziri mkuu na viongozi wa Ikulu, kwahito unge omba ulizi nchini
utakuwa umekubali. si ndio?🐄
 
JF VAR CHECK

Mwaka jana ulikua na umri wa miaka 45 ila mwaka huu una miaka 49 hii ni maajabu.

Kila la kheri mkuu... naona masharti mengi, huku ukizingatia wewe ni age Go !
At 25_30 bint awe Virgin ? Kwenye 100 utabahatisha mmoja !
Kwa umri wako,tafuta single maza 30_38, mwenye mtoto mmoja tu"!" Mjipange muishi ! Aje hapo akupe mtoto mmoja ama wawili wa chap chap
 
JF VAR CHECK

Mwaka jana ulikua na umri wa miaka 45 ila mwaka huu una miaka 49 hii ni maajabu.

Alafu ana mali za B kadhaa... wakati alikuwa anamkia wapi vile 😃
 
1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150 hadi 161
11. awe msafi na presentable
12. smiling face
13. kama Mama Edina
14. Akisimama mguu sawa katikati kuwe na iwazi na kaipis kwa mbaali.
15. sipendi tabia kama za Binti wa zamani
Mkuu hapo kwenye code No. 6 ndo inmeharibu, utazeeka tu. Hupati Ng'o !
 
Back
Top Bottom