Tuliodumu miaka 20+ kwenye ndoa zetu tukutane hapa tupeane na kubadilishana uzoefu

bwawani90

Senior Member
Joined
Dec 20, 2025
Posts
147
Reaction score
284
Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.

Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee

Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu.

Kuna muda naamkia kariakoo, tandale, mwenge mara naamkia Kwa matajiri masaki kutafuta fursa.

Kikubwa usikose pesa na ikiwezekana asijie umepata wapi. Kuna muda na kubet nimebeti.

Katu sisemi napata wapi pesa. Nimikosa basi hivyo.

Kubwa linalowasumbua watoto wa miaka hii ni mapenzi na kuchepuka.. wale wa miaka Ile ukimkuta mchepukaji ni 100 na ukifanikiwa kupata mtulivu ni 100
 
Mimi nikiwa kama kijana wa hovyo, ninawashukuru wanandoa wengi na wao wanishukuru mimi kwa kuwasaidia wake zao kuwapunguzia mzigo, hii imesaidia utulivu wa kifamilia katika ndoa nyingi, maana mwanamke anakuwa hajali mume wake anamfikisha au hapana, tofauti na hapo wangetoana jasho kila siku kwa mkong'oto heavy, asanteni sana wanandoa.
 
Ambao hamjaoa karibuni kwenye ulimwengu wa ndoa. Yaani kuoa ni kumiliki mtu kama vile unavyomiliki mali nyingine. Gari mbuzi na ng'ombe.
Umpatie mahitaji yooote anayotaka na umuhudumie mpaka afe au wewe ufe. Kwa kufupi ndoa ni mtego. Ukioa tu jua ndio umenasa.
 
Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.

Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee

Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu.

Kuna muda naamkia kariakoo, tandale, mwenge mara naamkia Kwa matajiri masaki kutafuta fursa.

Kikubwa usikose pesa na ikiwezekana asijie umepata wapi. Kuna muda na kubet nimebeti.

Katu sisemi napata wapi pesa. Nimikosa basi hivyo.

Kubwa linalowasumbua watoto wa miaka hii ni mapenzi na kuchepuka.. wale wa miaka Ile ukimkuta mchepukaji ni 100 na ukifanikiwa kupata mtulivu ni 100
Ukiona ndoa imedumu muda mrefu ujue kuna mmoja amekubali kuwa kama fala.
 
21yrs and the bond is still as strong as ever age mate, my first born(a disciplined young lady) yuko chuo na wadogo zake wa kutosha nyuma yake.
 
Ukiona ndoa imedumu muda mrefu ujue kuna mmoja amekubali kuwa kama fala.
Au kuna mmoja wao anafaidika zaidi na jambo fulani,

Nanukuu kauli ya mleta mada;

''Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu''

20 years ndani ya ndoa,mkewe hakutakiwa kumuonyesha dharau mambo yake ya kipato yanapokua hayapo sawa,alitakiwa awe ameshamjua,kumzowea na kumpa support pale mambo yanapokua hayapo sawa.
 
Ambao hamjaoa karibuni kwenye ulimwengu wa ndoa. Yaani kuoa ni kumiliki mtu kama vile unavyomiliki mali nyingine. Gari mbuzi na ng'ombe.
Umpatie mahitaji yooote anayotaka na umuhudumie mpaka afe au wewe ufe. Kwa kufupi ndoa ni mtego. Ukioa tu jua ndio umenasa.
📝
 
Kw
Au kuna mmoja wao anafaidika zaidi na jambo fulani,

Nanukuu kauli ya mleta mada;

''Kuna muda naona kama wife ananidharau sabb ninachalala. Kama mjuavyo mwanamke ni pesa bila kuwa na pesa atakudharau tu''

20 years ndani ya ndoa,mkewe hakutakiwa kumuonyesha dharau mambo yake ya kipato yanapokua hayapo sawa,alitakiwa awe ameshamjua,kumzowea na kumpa support pale mambo yanapokua hayapo sawa.
Tuelewe tu mwanamke anaroho mbaya kuliko mwaname.

Kwa hiyo kufa mapema Kuna husu wanaume wote
 
Back
Top Bottom