Sasa shida iko wapi hapo? Kuwapikia watoto wako chakula ni kuwa na ndoa mbaya? Kumfulia mkeo nguo ni kuwa na ndoa mbaya?Kuna mwingine atajisifu ndoa yake imetulia,lakini akishafika home atafua chupi za mkewe,ataogesha watoto na kupika msosi. Ndoa zina siri nyingi na ni vema siri zibaki kuwa siri.