Bwahaha m-JF kwenye ubora wake,nimecheka sana aisee.Nina asset za si chini ya billion 8
Elimu vyuo kadhaa duniani, sawa kijana, mrefu 182, si mnene nina watoto nje ya nchi sina mtoto Mtanzania, ndo mana natafuta. Watoto wane wamarekani wawili na wa Croatia wa2.
si mlevi, sina liability nyingi. Mtanzania maji ya kunde sawa Covax
Hiyo ya utepe ninayo zingine sinauna sifa ili hapo hapo mbili tatu
Watatu tu mwaya!kwani singo maza umezaa na wanaume wangapi