Masaki road
Member
- Jul 16, 2020
- 52
- 86
Lecturer vyuo vikuu vya serikali undergraduate degree GPA ni 3.8 kwenda juuMimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
Oh apo pagumu tayariLecturer vyuo vikuu vya serikali undergraduate degree GPA ni 3.8 kwenda juu
KabisaOh apo pagumu tayari
Kwanza hauna gpa ya kufundisha vyuo vikuu vya serikali.Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
Kwa baadhi ya vyuo unaweza pata maana wanachukua kuanzia 3.5 chuo kama Open University wanakupokea.Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
nani kakwambia sio vyuo vyote undergraduate ni 3.8 inategemeana na kozi mfano iyo education physics vyuo vingne ni 3.5Lecturer vyuo vikuu vya serikali undergraduate degree GPA ni 3.8 kwenda juu
Kabisa, angekuwa tayari anajua akasome nini na kwanini.Kwanza hauna gpa ya kufundisha vyuo vikuu vya serikali.
Pili hauko tayari kusoma masters!
acha kukalili angalia hili tangazo lipo PSRS gpa ngapi wanatakaLecturer vyuo vikuu vya serikali undergraduate degree GPA ni 3.8 kwenda juu
Nmeona at least 3.5 kwa mbaaaaliacha kukalili angalia hili tangazo lipo PSRS gpa ngapi wanatakaView attachment 2546817
Sawa mkuu, ni vyema umshauri na courses gani asome Masters ili iwe rahisi kwake kuwa lectureracha kukalili angalia hili tangazo lipo PSRS gpa ngapi wanatakaView attachment 2546817
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani mtu hadi unamaliza Bachelor bado hujui unapaswa usomee nini? Dah! Tumetofautiana sana akili.
Nishauri niende kada ipi mkuuKwanini usihame kada Mkuu? Nimewaza tu lakini.
Achana na master's, jipange upige CPA. Utaanzia foundation level.Nishauri niende kada ipi mkuu
MA (ECONOMICS & STATISTICS)Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
Hata Colleges zinazotoa degree chini ya NACTE, wanapokea 3.5 and aboveKwa baadhi ya vyuo unaweza pata maana wanachukua kuanzia 3.5 chuo kama Open University wanakupokea.
Hiyo IAA siyo university..acha kukalili angalia hili tangazo lipo PSRS gpa ngapi wanatakaView attachment 2546817