Masaki road
Member
- Jul 16, 2020
- 52
- 86
- Thread starter
- #21
Nipo tayari BossKwanza hauna gpa ya kufundisha vyuo vikuu vya serikali.
Pili hauko tayari kusoma masters!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo tayari BossKwanza hauna gpa ya kufundisha vyuo vikuu vya serikali.
Pili hauko tayari kusoma masters!
TAFUTA CONNECTION KWANZAMimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
HUFAI, kwa sababu hizi mbili.Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
Hahahaha 😃we dogo sikuweziWalimu ni wasumbufu sana na ni watu wasiojielewa..
Wameiharibu hii nchi!
Kwahiyo unataka kwenda kuongeza ujinga ili upate elimu ya kuzidi kuiharibu hii nchi?
Hapana mdogo wangu siyo aibu kwa chuo, ukisema hivyo kwani wanao washauri wasomi kutoka vyuo ni kwamba unamanisha vyuo vyao vinapata aibu ,, toa USHAURI tembea ,, hujui kaa kimyaHUFAI, kwa sababu hizi mbili.
1. GPA ndogo.
2. Hujui carrier yako,maana haiwezekani mtu una mpango wa kuwa mhadhiri ila cha kusoma unakuja kuuliza mtandaoni,hii ni aibu kwa chuo ulichosoma na taifa.
Tuliaaa!Hapana mdogo wangu siyo aibu kwa chuo, ukisema hivyo kwani wanao washauri wasomi kutoka vyuo ni kwamba unamanisha vyuo vyao vinapata aibu ,, toa USHAURI tembea ,, hujui kaa kimya
Tulia tuliaTuliaaa!
Tuliaaa!
Hivi hadi mtu kumaliza degree ya kwanza akiwa hajui carrier yake unaona ni jambo la kawaida?.
Ni aibu kubwa kwa taifa.
Kama ni kawaida kwako basi poa,lakini sifa za akitakacho hana,hivi unadhani huyu awe mhadhiri atawaambia nini wanafunzi wa chuo atakaokua anawafundisha?
hiyo uliyoona wewe;Tulia tulia
Hivi ni carrier au career?
Basi punguza ujuaji.hiyo uliyoona wewe;
punguza ujuaji mwenyewe mkuu.Basi punguza ujuaji.