Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!


Ukiona hivyo Umekeketwa hakuna Pazia huko! Yani ni Pango tupu! Sasa hilo halinaga Utelezi hata ukimeza mlenda kwa kutumia papuch
 
Are serious or you are just making fun?
More than serious,kwani kwenye maelezo yangu kuna sehemu yoyote nilionesha masihara? Nina tatizo mwenzio na linanitesa mno!
 
Kunywa maji moto nusu saa kabla ya mech. Isipozaa matunda kuna njia nzur kama huko uliko mnatengeneza juice ya ndizi Au pombe ya kienyeji. Nitakutajia vitu vya kuchanganya unywe. Hakika utaenjoy
Asante,ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Laiti ingekuwa kama M-Pesa watu tungekurushia kidogo maana zimo tele! Pole Ntigy
 
Lo pole Dada, "sisi tulao milo mitatu kwa siku tukumbuke wale ambao hata huo mlo mmoja ni shida kuupata". Hebu tusubiri ushauri utakaopewa!
Asante ndugu yangu!
 
Pole sana...! Inawezekana unafanyaga mapenzi bila kinga kwa muda mrefu sana soo hamu inapungua...tumia kinga ili kurudisha system ya hormones zako...
 
Pole sana...! Inawezekana unafanyaga mapenzi bila kinga kwa muda mrefu sana soo hamu inapungua...tumia kinga ili kurudisha system ya hormones zako...
Unamaanisha kinga gani? Naomba unifafanulie kiongozi.
 
Mmmhhh POLE SANA...ila usijali waswahili wanasema "Hakuna marefu yasiyo na mapana" soo jikaze yataisha tuu.
Asante,nami naamini jungu kuu halikosi ukoko,hivyo kwa ushauri wa wadau hapa nitapata suluhisho la tatizo hili.
 
Mi nahisi jamaaa hakuandai vizuri jaribu kwangu.pm tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…