Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!

Ukiona hivyo Umekeketwa hakuna Pazia huko! Yani ni Pango tupu! Sasa hilo halinaga Utelezi hata ukimeza mlenda kwa kutumia papuch
 
Kunywa maji moto nusu saa kabla ya mech. Isipozaa matunda kuna njia nzur kama huko uliko mnatengeneza juice ya ndizi Au pombe ya kienyeji. Nitakutajia vitu vya kuchanganya unywe. Hakika utaenjoy
Asante,ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Laiti ingekuwa kama M-Pesa watu tungekurushia kidogo maana zimo tele! Pole Ntigy
 
Lo pole Dada, "sisi tulao milo mitatu kwa siku tukumbuke wale ambao hata huo mlo mmoja ni shida kuupata". Hebu tusubiri ushauri utakaopewa!
Asante ndugu yangu!
 
Pole sana...! Inawezekana unafanyaga mapenzi bila kinga kwa muda mrefu sana soo hamu inapungua...tumia kinga ili kurudisha system ya hormones zako...
 
Pole sana...! Inawezekana unafanyaga mapenzi bila kinga kwa muda mrefu sana soo hamu inapungua...tumia kinga ili kurudisha system ya hormones zako...
Unamaanisha kinga gani? Naomba unifafanulie kiongozi.
 
Mmmhhh POLE SANA...ila usijali waswahili wanasema "Hakuna marefu yasiyo na mapana" soo jikaze yataisha tuu.
Asante,nami naamini jungu kuu halikosi ukoko,hivyo kwa ushauri wa wadau hapa nitapata suluhisho la tatizo hili.
 
Back
Top Bottom