Acha mzaa na matatizo ya watu.Mi nahisi jamaaa hakuandai vizuri jaribu kwangu.pm tafadhari
Yeah! Kwani maisha kitu gani mbona m nmeweza.Mmmh! Kwahiyo 'niabstain' maisha yangu yote?
Ukiingia kwenye ndoa tu nitaarifu... Lakini kwa sasa bora uwe hivyoMmmh! Kwahiyo 'niabstain' maisha yangu yote?
wanakua wameathiriwa kisaikolojiaMara nyingi wanaosumbuliwa na tatizo kama hilo huwa walisha sumbuliwa na U T I au fangasi
Pole mamy! Ila mimi sijawahi athiriwa na fungus.wanakua wameathiriwa kisaikolojia
... mmoja wapo mimi!
uke unakua mkavu balaa ,hata mtu akufanyaje
halafu unakua unasex kwa wasiwasi maana uke hautabiriki fangasi zinaweza anza kutoka anytime ..
kwahiyo unakua hauko na amani.
mimi mpaka leo nasumbuliwa na anxiety ....
ni mbaya sana.Pole mamy! Ila mimi sijawahi athiriwa na fungus.
Chukua punje za vitunguu swaumu kama 15(zilizomenywa),mdalasini kijiko cha chai na asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha vitafune vyote kwa pamoja mpaka vilainike kisha anza kumeza taratibu. Fanya hivyo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala kwa muda wa mwezi mmoja.ni mbaya sana.
mimi hapa hata nikiwa na mawazo kidogo zinaanza, nikila vitu vya sukari (soda) nikinywa chai
yani kila nnachofanya shida haipiti miezi mi3 sijaumwa[emoji24][emoji24]
asante sana kwa maelezo ngoja nikatafute hio dawaChukua punje za vitunguu swaumu kama 15(zilizomenywa),mdalasini kijiko cha chai na asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha vitafune vyote kwa pamoja mpaka vilainike kisha anza kumeza taratibu. Fanya hivyo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala kwa muda wa mwezi mmoja.
Au tumia dawa inayoitwa GYNOZOL ni ya kuingiza sehemu za siri kuna ya cream na vidonge. Ya vidonge ni nzuri zaidi kwani ni vitatu tu,kuliko tube ambayo wawezaenda nayo hata siku 7. Hii dawa inapatikana kwenye maduka ya madawa kwa sh.10,000/=