Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Mara nyingi wanaosumbuliwa na tatizo kama hilo huwa walisha sumbuliwa na U T I au fangasi
 
Avata yako imenishangaza sana. Nilidhani ni vikongwe wametazamana.
 
we umejuaje kama hauna msongo wamawazo?,,,thats not up to u to say my dia
Kumbe,naweza kuwa na msongo wa mawazo pasipo kujijua? Naomba ufafanuzi wako kiongozi.
 
Kula tetele (Mbegu za maboga/Matikiti maji kitu kinajibu Mara moja, Zibabue kwa mbali kwenye moto tafuna Mara kwa Mara matokeo ni Mara moja
 
Asante kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi.
 
Mara nyingi wanaosumbuliwa na tatizo kama hilo huwa walisha sumbuliwa na U T I au fangasi
wanakua wameathiriwa kisaikolojia
... mmoja wapo mimi!
uke unakua mkavu balaa ,hata mtu akufanyaje
halafu unakua unasex kwa wasiwasi maana uke hautabiriki fangasi zinaweza anza kutoka anytime ..
kwahiyo unakua hauko na amani.

mimi mpaka leo nasumbuliwa na anxiety ....
 
Unamaanisha nini kutokuwa na nguvu za kike, ina maana huzai ama huna hamu na uwezo wa kufanya mapenzi
 
wanakua wameathiriwa kisaikolojia
... mmoja wapo mimi!
uke unakua mkavu balaa ,hata mtu akufanyaje
halafu unakua unasex kwa wasiwasi maana uke hautabiriki fangasi zinaweza anza kutoka anytime ..
kwahiyo unakua hauko na amani.

mimi mpaka leo nasumbuliwa na anxiety ....
Pole mamy! Ila mimi sijawahi athiriwa na fungus.
 
ni mbaya sana.
mimi hapa hata nikiwa na mawazo kidogo zinaanza, nikila vitu vya sukari (soda) nikinywa chai
yani kila nnachofanya shida haipiti miezi mi3 sijaumwa[emoji24][emoji24]
 
Chukua punje za vitunguu swaumu kama 15(zilizomenywa),mdalasini kijiko cha chai na asali mbichi kijiko kimoja cha chai kisha vitafune vyote kwa pamoja mpaka vilainike kisha anza kumeza taratibu. Fanya hivyo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala kwa muda wa mwezi mmoja.
Au tumia dawa inayoitwa GYNOZOL ni ya kuingiza sehemu za siri kuna ya cream na vidonge. Ya vidonge ni nzuri zaidi kwani ni vitatu tu,kuliko tube ambayo wawezaenda nayo hata siku 7. Hii dawa inapatikana kwenye maduka ya madawa kwa sh.10,000/=
 
asante sana kwa maelezo ngoja nikatafute hio dawa
 
Back
Top Bottom