Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Pole shost....tatizo lako litatauliwa humu naamini
 
Mliwah kukorofisha na mpenz wako mpaka ukafika hali yakutokua na hisia nae..? Maana kama kuna jambo uliumizwa na mpnz wako emotional connections hupotea..na kukosa mzuka na mpnz wako.
 
Yawezekana unafanya shughuli nyingi bila kupumzika. Jaribu kupumzika. Pia huenda ukawa unampenda mpenzi wako kumbe umemzoea. Uaweza pia toka nje uone kama linajirudia.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ndio!!! Tenawanaume wengine wanawapa wasichana wao bila wao kujua [emoji23][emoji23][emoji23]
"Don't do this at home!"
Kuna demu anazingua japo hakatai mitoko. Nielekeze zinakouzwa nimalize game!
 
mkuu we tiririka ma ginius wameshakuelewa unaelekea wapi
 
Jenga tabia ya kumpa taarifa mpenzi wako kama unataka mechi,mfano mn doo saa moja jioni aanza kumuandaa kisaikolojia saa mbili asubuhi hivohivo na yeye atafanya kwako mfano kuchat nk mambo ya kupigana m...bo.o ingawa ilikuwa vizur yeye ndo aanze kukuandaa wewe kisaikolojia,ila kwa kua hayupo wew fanya hivyo yeye atale spond,kuna watu ambao hisia zao zko chini tu automatically
 
Mliwah kukorofisha na mpenz wako mpaka ukafika hali yakutokua na hisia nae..? Maana kama kuna jambo uliumizwa na mpnz wako emotional connections hupotea..na kukosa mzuka na mpnz wako.
Sijawahi kukorofishana nae na tunaishi kirafiki mno.
 
Wanawake wenzako tunakula nao vipande na supu za pweza barabarani, huenda wao pia walikuwa na tatizo kama lako.
 
Wanawake wenzako tunakula nao vipande na supu za pweza barabarani, huenda wao pia walikuwa na tatizo kama lako.
Asante kwa kunifumbua macho itabidi nami nijiwekee hako ka utaratibu wa kula vipande vya pweza barabarani.
 
Asante kwa kunifumbua macho itabidi nami nijiwekee hako ka utaratibu wa kula vipande vya pweza barabarani.
Achana na mambo ya pweza mama.. Na mvua hzi utapatwa na kipindupindu bure.. Nadhan tatizo lako lipo kisaikolojia zaidi.. So wahiwaji kucheza na saikologia yako.. Kumbuka vitu vilivokua vinakufanya unanyevuka ( becoming wet) ulipo kua na mpnz wako hapo zaman. Jaribu chunguza kipi kimepunguza hisia zako hata kupelekea kua mkavu unapokua falagha na mpnz wako. Then fanyia kazi.. Utashangaa mambo yatakavokua.. Mwanamke kawaida akiwa anahisia na mpnz wake.. Hata kwa kumuona mumewe tayar uanza kunyevuka.
 
Asante kwa ushauri wako,tatizo ni kwamba kila nikifikiria kitu gani kimebadilika maishani mwangu kiasi cha kupelekea hali hii sikioni. Mpenzi wangu nampenda na ni gentleman hasa.
 
Asante kwa ushauri wako,tatizo ni kwamba kila nikifikiria kitu gani kimebadilika maishani mwangu kiasi cha kupelekea hali hii sikioni. Mpenzi wangu nampenda na ni gentleman hasa.
hata ukichezewa kisimi hulowani?
 
yaani mimi nikipigiwa tu simu nalowa chepechepe uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…