Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Tumia tende na maziwa ni hayo tu
 
Tafuta supplements zinazoitwa Horny goat weed.Kisha utaleta mrejesho baada ya matumizi.

Tafuta supplements zinazoitwa Horny goat weed.Kisha utaleta mre
Asante kwa msaada wako wa mawazo,nitazitafuta.
 
Kwa hapa Tanzania nadhani zaidi utapata za kampuni ya 21st Century. Katika Pharmacy kubwa zinapatikana.
Asante sana nitazitafuta nitumie kisha nitawaletea mrejesho.
 
Asante kwa mchango wako wa mawazo. Nina muda mwingi wa kupumzika na sijawahi kutumia dawa za uzazi wa mpango.
Kwanza nikuhakikishie kuwa wapo watu huwa naturally wana low libido, so sio jambo strange

Ila kwavile umeniambia hiyo hali hukuwa nayo toka zamani bali imekuanza tu miaka mitatu ilitopita

Basi nitahitimisha kuwa either una a pschological au a medical problem ambayo haijagundulika bado

So chakufanya ni kaongee na daktari iliwakufanyie vipimo mbali mbali vidhihirishe kuwa hauna ugonjwa wowote, na pia kaongee na psychologist/psychiatrist ili akuhakikishie kama you are mental fine. Nauhakika chimbuko la hali yako litabainika baada yakufanya hayo

I wish you luck, na pole!
 
Asante sana! Ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Asante sana nitazitafuta nitumie kisha nitawaletea mrejesho.
Kama utaweza nunua na Ginko Biloba, yani ukitumia hizo supplements kwa pamoja huyo mwenzi wako ajipange kwakweli, kinyume na hapo utapona kisha ulete malalamiko hapa ya kutotoshelezwa.
 
Kama utaweza nunua na Ginko Biloba, yani ukitumia hizo supplements kwa pamoja huyo mwenzi wako ajipange kwakweli, kinyume na hapo utapona kisha ulete malalamiko hapa ya kutotoshelezwa.
Kwahiyo nitatumia zote kwa pamoja?
 
Ok, naomba Mungu zinisaidie,maana hali ishakuwa tete.
 
Wanawake wengi sana wana tatizo hilo siku hizi. Anaweza kusema anakula vizuri kumbe anakula vibaya sana ila tu anakula nyama za mafuta, chipsi, mayai, kuku wa kizungu na mengine mengi. Dada sikiliza usinywe dawa yyt. Anza ratiba ya mazoezi asubuhi na jioni, pia badili milo yako. Halafu chukua swaum, kitunguu maji na asali blnd na kunywa nakuhakikishia utapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…