Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Pole sana jamani! Hili yendo ukifanya bila mahikemshike wa hamu linakja karaha. Kuna bubble gum flani niliziona sehemu za kuingeza hamu kwa mwanamke... Nikipata jina ntakuletea. Zinauzwa sana siku izi.
Ushapata jina lake????
 
Pole sana jamani! Hili yendo ukifanya bila mahikemshike wa hamu linakja karaha. Kuna bubble gum flani niliziona sehemu za kuingeza hamu kwa mwanamke... Nikipata jina ntakuletea. Zinauzwa sana siku izi.
Na mi nasubiri mrejesho wa hizi b g[emoji1] [emoji1]
 
Yawezekana unafanya shughuli nyingi bila kupumzika. Jaribu kupumzika. Pia huenda ukawa unampenda mpenzi wako kumbe umemzoea. Uaweza pia toka nje uone kama linajirudia.
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono,sio mlevi wala mvuta sigara,nakula vizuri, sina msongo wa mawazo,vipimo vinaonesha homon ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kam kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!

Solution ipo kwenye website hii www.youtube.com/scoanvideos ni bure, hakuna malipo/gharama yeyote kwani Mungu alitoa bure na unapewa tiba bure ila ni imani yako tu inahitajika. Angalia kwanza several testimonies/shuhuda ndiyo uelewe vema. Mambo ya mzizi, au pharmacy ni kupoteza muda na pesa zako na kiharibu mwili wako kwa keki kali due to side effect. You are being affected by what we call spirit man.
 
Hi Ntigy!

1. How old are you?
2. Have you been doing mustarbation?
3. Make sure your man makes romance for not less than 45 minutes before he enters you.
4. Watch porn before sex.

All the best dear.

Bad advice! Particularly number 4, kuangalia porno ni mbaya sana.
 
Wenye kumsaidia msaidie lakini kwangu mimi ushauri woote utakaopewa si zaidi ya kumpa yesu maisha yako,
Nimeona watu wakiishi bila damu, nimeona walioambiwa kuwa matasa wanazaa, waliokata tamaa wakiinuliwa, waliokataliwa mara nyingi wakiolewa, wale ambao madaktar wamesema hawawez kupona wakipona,
Ni swala la kumpa yesu maisha yako na imani isiyo na mfano utaona majibu,
Ukimwamini MUNGU atakurudishia uhai kila kiungo.
ACHANA NA UZINIFU❀❀❀❂❄❃✺✸
 
Tatizo hili ni la kiroho. Una mini mahaba (spiritual husband) anayekukosesha hamu kwa mumeo ili uwe naye.
 
Ndio!!! Tenawanaume wengine wanawapa wasichana wao bila wao kujua [emoji23][emoji23][emoji23]
"Don't do this at home!"
Hizi chewing gum zipo ila hizi zitamtengenezea dependency kwake but hazi tatui shida ya libido.Atakuwa mteja wa kuduma wa gum kitu ambacho sio sahihi, ni sawa na mwanaume anaetumia Viagra/Cialis na vitu vya aina hiyo kwa ajili ya kuboost.
 
Siku ya wanawake duniani
Ni bora sana mkatafuta nguvu yenu mliyoipoteza.
 
Hizi chewing gum zipo ila hizi zitamtengenezea dependency kwake but hazi tatui shida ya libido.Atakuwa mteja wa kuduma wa gum kitu ambacho sio sahihi, ni sawa na mwanaume anaetumia Viagra/Cialis na vitu vya aina hiyo kwa ajili ya kuboost.
Kweli... Ni temporary solution
 
Tatizo hili ni la kiroho. Una mini mahaba (spiritual husband) anayekukosesha hamu kwa mumeo ili uwe naye.

That is what we call spirit man or spiritual husband, ambapo unafanya tendo la ngono kwenye ndoto! na hana hamu ya kuwa na mume wake.
 
KUNA Juice ya tende,
strawberry,
watermelon.
Mlonge,
vitunguu swaumu,
pweza,
Asali ,mdalasini,
pamoja na vingine kibaaaooo!
vyote hivyo haujaviona???
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Kama ukibahatika kutembelea Dodoma fika pale DCMC Trust kuna gynaecologist atakusaidia amemsaidia mama m1 hivi mpaka Leo anashukuru.
 
Back
Top Bottom