Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
kuna mambo mengine mwanadamu hawezi kuyatibu lakini Mungu pekee ndiye awezae kukuponya
Nakuahauri tu umpokee Yesu awe mwokozi wa MAISHA yako


Ukishampokea huyu Yesu unafuata utaratibu wa kufunga na kuomba ili hili tatizo kuliondoa

hutabaki kama ulivyo
Naomba uuamini ushauri wangu na Mungu akusaidie
 
Je zinapatikana hapa nchini?

Makadirio ya bei kwa chupa moja ni kiasi gani?

Kwa nje ya nchi naona ni nyingi.
Mkuu tafuta na Tonkat Ali au Ginseng.Yoyote kati ya hizo,hauto juta.Hiyo miti shamba ni hatari mkuu.Watu hawajui kuwa hizi supplements wenzetu magharibi wanameza za kila aina kwakuwa katika vyakula vyetu hivi vya kimjini haupati kila kitu.Mfano ni watu wangapi wanakula vyakula vyenye amino acid ya kutosha? Lakini ukila L-arginine 1000mg inakupatia hiyo amino acid mpaka ya ziada na utakuwa kama faru John, hata watu wa mazoezi au michezo inawafaa kwani mwili unapata nguvu za kutosha.
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Kwanza nikupe pole sana Dada yangu. Tatizo ulilonalo nahisi linachangiwa na kuzoeana sana na mpenzi wako na istoshe huoni kipya kwake ambacho kinaweza kukuamsha hisia zako.

Pili inawezekana huyo mpenzi wako hana ubunifu wa kucheza na hisia zako.

Tatu, kunasehemu kwenye mwili wako hazijaguswa vizur hususani za ndani ya k. Ila ukija kupata MTU wa kuweza kuzigusa vzr nahisi utakuja kupata hamu na utafurahia mapenz yako.


Ushauri tu . hebu jaribu kwa mtu mwingine ambae ataweza kucheza vizuri na mwili wako na mwenye uwezo wa kutosha asiishie njiani kwa maana awe na uwezo mzuri kwenye bed halafu utatupa mrejesho.
 
Wanawake wengi sana wana tatizo hilo siku hizi. Anaweza kusema anakula vizuri kumbe anakula vibaya sana ila tu anakula nyama za mafuta, chipsi, mayai, kuku wa kizungu na mengine mengi. Dada sikiliza usinywe dawa yyt. Anza ratiba ya mazoezi asubuhi na jioni, pia badili milo yako. Halafu chukua swaum, kitunguu maji na asali blnd na kunywa nakuhakikishia utapona
Asante kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi.
 
Usikute unatoa nyuma, maana ukitoa nyuma hisia za mbele zinahamia nyuma huku mbele kukipoteza mawasiliano.

Pili usikute umekeketwa

Tatu usikute unayefanya nae ngono huna hisia nae za kimapenzi.
Mwisho km yote hayo huna kasoro nayo, majaaliwa kesho kazini nitawauliza madaktari wazoefu na specialist kwenye magonjwa ya uzazi then nitakuletea majibu.

Pia ningependa kujua hilo tatizo limekuanza lini??
Duh asikute atoa nyuma hahaha hatari
 
pole ndugu, ila unahtaji kusamehe na kuachilia mwili uwapo faragha, uongeze unywaji wa maji!
Asante mkuu,najitahidi sana kurelax lakini wapi,maji nakunywa si chini ya lita 3 kwa siku.
 
Tafuta supplements zinazoitwa Horny goat weed.Kisha utaleta mrejesho baada ya matumizi.

Tafuta supplements zinazoitwa Horny goat weed.Kisha utaleta mre
ndio umeamua kumuelekeza hivyo mwenzako...???
 
Lo pole Dada, "sisi tulao milo mitatu kwa siku tukumbuke wale ambao hata huo mlo mmoja ni shida kuupata". Hebu tusubiri ushauri utakaopewa!
 
Sijawai tumia ila mrejesho wa wadada kwenye group unazisifia sana.
Ishu ya huyu dada haiitaji madawa ya kuongeza nguvu temporarily... Ila hii ni za mda mchache pale unapotaka tendo.
tumia na wewe basi,utoe ushuuda kwa wenzako wa jukwaani humu.......wafurahike na mshedede....
 
Ndio!!! Tenawanaume wengine wanawapa wasichana wao bila wao kujua [emoji23][emoji23][emoji23]
"Don't do this at home!"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....we ushatafunaga... mpaka unatuonya...tusijaribu kwa kina mama chanja.....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
....
 
Je hauna vyeti feki Mkuu tuanzie hapo kwanza.
Du, unapokuwa na shida yahitaji uvumilivu kwa baadhi ya maswali, suppose ana vyeti fake ....!
 
Back
Top Bottom