Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Pole....zingekuwa zinakubali kuhama km vocha ningekurushia maana mm nna nguvu mpaka naona namtesa wife
Sasa huyu nimwanamke nawewe nimwanaume hata kama zngekuwa zinahama cdhani kama zngeendana labda ujaribu kumuhamishia mwanaume mwenzio cjui utamuamishia kupitia njia gani?
 
Pole....zingekuwa zinakubali kuhama km vocha ningekurushia maana mm nna nguvu mpaka naona namtesa wife
aliyeomba msaada wa ushauri ni KE mkuu...!!!....hukumaliza kusoma kichwa cha habari....ukakurupuka ku'comm'nt....
 
Sijawahi kuliwa nyuma,sijakeketwa nampenda sana mpenzi wangu lakini hali ndo hiyo.
Pole dear Ntigy usijali huna tatizo kubwa utasaidiwa, pia nisaidie kujua kama kipindi unaanza kufanya mapenzi ulikuwa sawa ndio ukaanza kupoteza hamu kidogo kidogo au ulipofanya mara ya kwanza ukagundua huna hisia?
 
Jitahidi kula vyakula asilia
Mihogo na viazi vya kuchemsha,mboga za majani kwa sana + matunda,ugali wa dona,epuka nyama za ng'ombe na sausage Mara kwa Mara
Pia ongeza kahawa,tangawizi+asali,bila kuacha supu ya pweza.

Punguza mawazo vilevile uwe na maandalizi ya kutosha b4 match
Km ikishindkana nitafute private
Asante mkuu,ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Upo juu mkuu
Okay

Kwavile hormone levels ziko normal, it sounds like a deeper issue. Ina maana ni psychological

Nimeona umemjibu mtu kuwa una mpenzi na unampenda, kwa hiyo nitaasume huna any relationship problems
Ila kama unastress na unafanya vitu vinavyo kufanya uwe unachoka, pia inaweza kuchangia hali hiyo

Kitu kingine ni depression

Pia dawa za kuzuia mimba zinaweza kusababisha hiyo hali

Ushauri wangu ni kama unatumia dawa za kuzuia mimba, basi punguza na muwe mnatumia condom
Pia nenda kaonane na psychologists na halafu ukafanye vipimo vingine zaidi ili kujua kama kuna underlying medical conditions
 
Yawezekana unafanya shughuli nyingi bila kupumzika. Jaribu kupumzika. Pia huenda ukawa unampenda mpenzi wako kumbe umemzoea. Uaweza pia toka nje uone kama linajirudia.
Nina muda mwingi wa kupumzika. Sidhani kama naishi kwa mazoea kwani hata nikikaa miezi 6 pasipokufanya hilo tendo,wala mwili hausisimki kwa hamu.
 
Tatizo lako ni kubwa maana najua ni jinsi gani linakuumiza, jaribu njia hii ambayo wengi niliwasaidia kupitia hiyo, anza sasa kutumia Nyanya chungu walau Mara tatu kwa siku, tumia korosho, vanilla/chocolate, kausha mbegu za parachichi na usage vizuri, unga wake tumia kwenye uji ama chai, au maji ya vuguvugu, kunywa uji wa ulezi Mara mbili asubuhi na jioni, mtori kila asubuhi, Maziwa mtindi walau glass mbili kwa siku, juice ya alovera Mara mbili au tatu kwa wiki na iwe vijiko viwili vya chai. Asilimia 75 ya wanawake wana upungufu wa nguvu za kike, tatizo ambalo wengi hawajui na wanaona ni sawa tu. Kwa maelezo zaidi 0689 913 401
 
Dada nenda mpakani hapo kuna jamaa wanauza dawa za asili utasaidika. Mimi kuna gal wangu kawah kuwa na hili tatizo na kapona kabisa.

Ndugu zangu, kitu kama hukijui ni vyema ukakaa kimya wanye ufahamu nalo walitolee maelezo au majibu, sio kuropokwa maswali ya kipumbavu na kutoa majibu ka mishoga
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Ulishauriwa utumie k-y jelly kufanyia nini hebu kakavua kidogo
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Ni mapepo hilo, Nenda kanisani ukaombewe lakini sharti uwe umeolewa maombezi kwa ajiri ya wewe na mumeo sio unaenda kanisani kuombewa ili ukafanye mapenzi kiholela holela yaani ujaolewa Mungu atakuadhibu
 
KUNA Juice ya tende,
strawberry,
watermelon.
Mlonge,
vitunguu swaumu,
pweza,
Asali ,mdalasini,
pamoja na vingine kibaaaooo!
vyote hivyo haujaviona???
Katika vyote ulivyovitaja strawberry tu ndo sijawahi kutumia,vingine vyote nimetumia sana na havijafaa kitu.
 
kuna mambo mengine mwanadamu hawezi kuyatibu lakini Mungu pekee ndiye awezae kukuponya
Nakuahauri tu umpokee Yesu awe mwokozi wa MAISHA yako


Ukishampokea huyu Yesu unafuata utaratibu wa kufunga na kuomba ili hili tatizo kuliondoa

hutabaki kama ulivyo
Naomba uuamini ushauri wangu na Mungu akusaidie
Asante kwa ushauri mzuri. Nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom