Hayo maswali ni sahihi sana.. If you understand woman psyche inactive operate..Dada wa watu ana tatizo baada ya kutoa ushauri unauliza maswali yako hayaendani na post,yaani kwa muonekano wa maswali yako yamekaa kishirikina
Tafuta katika maduka makubwa ya madawa mkuu. Ukikosa ni pm!kwa dar zinapatikana duka gan?
Hakuna anacho kijua huyo, analeta mzaha katika vitu serious.Vp mkuu,ni mbaya?
OK pole sanaAsante mkuu,sio kweli kwamba ninaishi naye kwa mazoea,tunapendana sana na anajitahidi sana kuniandaa vya kutosha lakini sisimki kabisa.
Bei gani zinauzwa[emoji23][emoji23]
Mkuu nimesoma uzi mzima na maswali uliyoulizwa, vyanzo vya tatizo lako vinaweza kuwa vifuatavyo;Sijawahi kupiga punyeto wala kutumia dawa za uzazi wa mpango.
[emoji113]Asante mkuu,ushauri wako nitaufanyia kazi.
Hahahaha nimesoma mstari wa kwnza tu nikashkwa na kichko sikutaka kuendeleaUsikute unatoa nyuma, maana ukitoa nyuma hisia za mbele zinahamia nyuma huku mbele kukipoteza mawasiliano.
Pili usikute umekeketwa
Tatu usikute unayefanya nae ngono huna hisia nae za kimapenzi.
Mwisho km yote hayo huna kasoro nayo, majaaliwa kesho kazini nitawauliza madaktari wazoefu na specialist kwenye magonjwa ya uzazi then nitakuletea majibu.
Pia ningependa kujua hilo tatizo limekuanza lini??
[emoji12]Mwambie shemeji apende kwenda chumvini mara kwa mara itakurudishia hali yako itaamsha tu
Antenna ipo au imekatwa tuanzie hapo kwnzaAsante sana nitazitafuta nitumie kisha nitawaletea mrejesho.
Sasa kukosa hamu au ukavu kuna uhusiano na nguvu za kike!!! Kwanza hamnaga ukosefu wa nguvu za KKE.....hamnaga nguvu za kike aisee.....sema huna hamu yya kufanya tendo LA ndoa!!... Au unakua mkavu ukeni!!?Wahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
ni pm nkufundishe dawa ya mlongeWahenga walisema "Mficha uchi hazai". Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo. Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!