Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea.
Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya Sudan Kusini, Sudan, Ethiopia na Misri. Sasa ombi langu kama maji ni bidhaa adimu na maji haya yanatoka katika nchi zetu ni WAJIBU nchi hizi kutulipa gharama ya maji yanayotoka kwenye nchi zetu. Tuachane na sheria za kikoloni kuwa wakoloni walikataa tusiwauzie nchi husika maji ya Ziwa Victoria lakini kwa karne ya sasa hizo ni sheria za kizamani. Zimepitwa na wakati. Mbona wenyewe wasitupe mafuta yao bure.
Tunamwomba Wizara ya Maji chini ya Mhe. Aweso kufikiria wazo hili na kukaa na Mawaziri wenzake wa Kenya na Uganda kuanza kufikiria kuwauzia maji nchi ambazo Mto nile unapita. Mhe. Waziri wa Maji fikiria wazo langu hili.