Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

Aie
 
Mods mnetupa zawadi ya maulidi kwa kumpumzisha huyu dogo hata kwa wiki tu.
 
Daah!!
Kuna mwamba humu alikuwa na hizi swagga sijui aliishia wapi
 
Mimi nilijua ni utani tu.Kumbe ni siriazi unaumwa mkuu?Shika simu yako barabara na ufumbe macho nikuombee dua njema.πŸ™πŸ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…