Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

Aie
Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.

Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.

Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.

Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sanaai
 
Screenshot_20240915-192717~2.png
 
Mods mnetupa zawadi ya maulidi kwa kumpumzisha huyu dogo hata kwa wiki tu.
 
Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.

Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.

Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.

Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.
Daah!!
Kuna mwamba humu alikuwa na hizi swagga sijui aliishia wapi
 
Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.

Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.

Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.

Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.
Mimi nilijua ni utani tu.Kumbe ni siriazi unaumwa mkuu?Shika simu yako barabara na ufumbe macho nikuombee dua njema.🙏😎
 
Back
Top Bottom