Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

Nenda kaolewe ww umpe mapenzi ya dhati!
Dume zima umbea umbea tu!
Kabisaa hawa ndio wachawi walio kubuhu...wanadanganyana hawadanganyan inamuhusu nini...wivu
 
Hahahaaa nenda kawaombe uwalee wewe, maisha ya watu yakuuma nini. Zaa wako walee utakavyo, umezidi wivu hadi ni kama mwili wako unawashwa haswa.

Hautaki eeeeeh, pole yako kamvizie D uzae nae.
 
Tatizo la kuota ndoto ukiwa unakimbizwa na Siafu unaishia kuwa na maluweluwe ndio kilichomkuta mleta uzi, Anatoa hoja kama amebanwa na mfupa kooni mambo ya zari yanatuhusu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

mke wa zari ni nani...?
 
Me mara ya kwanza kabisa nilikuwa naamini wanatafuta kick Ila Sasa Imepita miaka mingi Sana nadhani wapo real
 
Mmh maskini dunia yashilaga yaani mwanaume unajipinda kutype pumba za kumuonea wivu mwanaume mwenzio.

Hapo ulipo nadhani una page insta inayoongoza kutaka DNA ya nillan na tiffa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mimi nafikiri Magu na Makonda wanatuektia tu. Mwisho wa siku ukweli utajulikana.
 
Jomba jamii forum ya sku iz lazma ujipange unapotaka anzisha uzi la sivyo unaeza lia
 
Hivyo Zari hadi sasa bado
yupo na mke wake kama
kawaida! Na mwisho wa
siku lazima watakuja
kurudiana!
 
Hata kama ni watu maarufu,Kuna mambo mengine siyakufatiria kabisa!

Usijishughulishe na mambo yasiyokuhusu na yasiyokupa faida yoyote.
 
Pumba zingine ni sheda tupu haya sisi tufanyaje mkuu!?
 
Me mara ya kwanza kabisa nilikuwa naamini wanatafuta kick Ila Sasa Imepita miaka mingi Sana nadhani wapo real
Wakati ule majority wanaamini Ivan na Zari wanamchezea Mond ili wamuingize king, niliwahi kuuliza hapa hivi kweli kuna mwenye moyo wa kumuacha "mke" wake akapigwe miti kirahisi namna hiyo!!!

Achana na machungu ya kumegewa bhana... watu watasingizia kila mahali, lakini eti amwachie mwanamke ambae alikuwa sehemu ya maisha yake awe anabiringishwa bingili bingili; thubutu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…