Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

Ulitamani diamind akuzalishe wewe?
 
ni kweli si watoto wa Domo ni wa kwako mkuu ,hongera
 
;
nigga you should go get some sleep,,,,,
 
Anzia hapa kufikiria! Wewe unaweza ukampa mkeo mtu atafute nae kiki? Alafu kitu kingine ni kwamba mond ana mtoto mwingine zaidi ya tifa na wamefanana kama mapacha
 
FANYA MAISHA. KAMA ANAKUDANGANYA NI WEWE SIO SISI.
 
Fanya kazi wewe, wenzio wana pesa. Wapi waliwahi kusema wanaishi kwa ajili yako hadi useme wanakudanganya?
 
Ukifuatilia historia ya wawili hao tangu wanatoka Uganda na kuenda kufanya uganga wa kienyeji SA unaweza ukaamini hii couple ina uwezo wa kufanya chochote kwa ajili ya maisha mazuri. Kilicho kichwani kwa mtu ni vigumu sana wa pembeni kukielewa.
 
Umasikini unanunuliwa ila utajiri wa mtu Ni akili. Chibu kunasiku ataomba michango wote mtanikumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…