Ushahidi ni mimi mwenyewe, nimeuishi wakati huo. Ukipeda pokea usipopenda puuza.Unaushahidi na unachokisema au unazungumza kujifurahisha,..
Ukongea mambo unapaswa uwe na ushahidi.
Unaweza kutaja shule au chuo chochote kilichojengwa na waarabu wakati wa ukoloni?
Ushahidi ni mimi mwenyewe, nimeuishi wakati huo. Ukipeda pokea usipopenda puuza.
Uliza na babu zako watakueleza.
Sio kwamba tumeshuka, tumeporomoka.!! Hata hiyo 70% kama ipo ni bahati. Hali ni mbaya !!Kulingana na UNESCO hadi mwaka 2015, kiwango cha watu wazima kusoma na kuandika cha ni 77.89% nchini Tanzania. Wakati kiwango cha wanaume kusoma na kuandika ni 83.2%, kwa wanawake ni 73.09%, kuonyesha pengo kati ya jinsia.
Kwa mujibu wa taarifa nyingi zilizopo ni kwamba Tanzania imeshuka kwa zaidi ya 10% kulinganisha na kiwango kilichokuwepo miaka ya 70. Ripoti zinasema Tanzania ilikuwa na literacy rate ya kwenye 90% ambacho ni kiwango cha juu sana kwa nchi. Kwa ufupi bongo kwa miaka hiyo watu karibu wote walikuwa wanajua kusoma na kuandika. Hakika serikali ya Mwalimu iliupiga mwingi.
Nimeanza na utangulizi huo uliokaa kisomi ili sasa nieleze kwanini nimeandika huu uzi. Kwa muda mrefu kuna nimekuwa nikikerwa mno na jinsi watu wengi wanavyoshindwa kuandika vizuri maandishi yao bila kukosea. Matumizi yasiyo sahihi herufi "L" na "R" yamekuwa changamoto kubwa. Isitoshe mtaani tunamoishi kuna watu wengi sana wasiojua kuandika kabisa wala kusoma. Wala halihitaji sana utafiti kujua kwamba kuna hili tatizo.
Mitandao ya kijamii imesaidia sana kujua ukubwa wa tatizo. Watu wengi mno ukisoma comments na captions zao utapandwa na jazba mno. MwanaJF FaizaFoxy huuliza kwamba huko shuleni ulienda kusomea ujinga? [emoji1787][emoji1787]. Watu maarufu wengi hasa wanamuziki na wanafilamu/maigizo (bongo movie) wamekuwa vinara wa maandishi yaliyokosewa kuandikwa iwe kiswahili au kiingereza. Ukitembelea mtandao wa Facebook ndo utaona maajabu mengi hadi unatamani watu wanyang'anywe simu na kurudishwa darasani kwa lazima.
Mimi nashauri wazazi wawafuatilie watoto wao toka wakiwa wadogo ili kujenga mtanzania ambaye hatatia aibu kwa kushindwa hata kuandika na kusoma lugha ya kiswahili. Waalimu nao wasiwe nyuma kutimiza wajibu wao. Wale waalimu wa zamani wa mwandiko darasa la kwanza na la pili bado wapo? Serikali nayo ifuatilie kila kitu kwa karibu sana kwa sababu kwa ninayoyaona mtandaoni huenda tumeshashuka tena.
Mwl Nyerere alianza mkakati wa elimu kwa wote ikihusisha UPE na EWW .watu wote wasiojua kusoma na kuandika waliandikishwa na wakaanza kufundishwa kusoma na kuandika. Zoezi hili lilifanyika kwenye madarasa ya shule za msingi, na sehemu nyingine . Wazee kwa vijana waliingizwa madarasani. Nyerere aliupiga mwingi hakika !!!! Haya yalitokea miaka ya sabini....haimaanishi 1970 !!!!!Hapo inamaanisha Mkoloni aliwasomesha watu kuliko toka tupate uhuru. Simpo. Maana mtu mzima wa mwaka 70 alisomeshwa mwaka gani? "Obviously" ni kabla ya Uhuru.
Tena waweke wazi, kila mtu aelewe kuwa, wengi wao hao watu wazima walioweza kusoma na kuandika ilikuwa ni kwa kutumia hati za Kiarabu.
Madrasssa hoyeee.
Hapo umeeleweka. Wote "wasiojuwa kusoma na kuandika" haimaanishi kuwa kuna ambao walikuwa hawajui kusoma na kuandika maandiko ya kilatini, basi hawajui kusoma na kuandika maandiko ya Kiarabu.Mwl Nyerere alianza mkakati wa elimu kwa wote ikihusisha UPE na EWW .watu wote wasiojua kusoma na kuandika waliandikishwa na wakaanza kufundishwa kusoma na kuandika. Zoezi hili lilifanyika kwenye madarasa ya shule za msingi, na sehemu nyingine . Wazee kwa vijana waliingizwa madarasani. Nyerere aliupiga mwingi hakika !!!! Haya yalitokea miaka ya sabini....haimaanishi 1970 !!!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Chuo cha Dar Es Salaam. Hivi unaelewa kuwa hilo jina unalolijuwa wewe kuwa ni jiji kubwa katika Tanzania lilianza kama chuo? Naam, chuo cha Waislam na mpaka leo majengo yanayotumiwa kama Ikulu ndio hicho chuo cha Waislam kwa jina Dar us Salaam? na Hospital ya Ocean Road ya leo hii ndiyo ilikuwa mabweni ya hicho chuo?Nimekuambia nitajie shule moja au Chuo kimoja kilichofundisha Kiswahili Kwa Alfabeti za kiarabu na ilikuwa mwaka gani?
Sio uongee pumba hapa
Chuo cha Dar Es Salaam. Hivi unaelewa kuwa hilo jina unalolijuwa wewe kuwa ni jiji kubwa katika Tanzania lilianza kama chuo? Naam, chuo cha Waislam na mpaka leo majengo yanayotumiwa kama Ikulu ndio hicho chuo cha Waislam kwa jina Dar us Salaam? na Hospital ya Ocean Road ya leo hii ndiyo ilikuwa mabweni ya hicho chuo?
Mnashangaza sana mnapojidai kuwa hata historia yenu hamuielewi. Kama mlijazwa ujinga shule basi mnashindwa hata kujisomea wenyewe historia> Hizo simu na mtandao mnazitumia kwa ujinga tu na sio kwa kujisomea mkajielewa?
Msomi mmoja wa historia nimemsikia akisema "historia ni kama kioo cha kujitazamia" Ulivyo, sasa wewe kama hata histpria yako huijuwi unajitazama vipi?
Vyuo kwa jina la vyuo vyote. Au huelewi kuwa "madrassa" za Kiislam kwa jina lingine ni vyuo? Hujawahi kuwasikia watoto wa Kiislam wakienda "chuoni"? Utakuwa huishi Tanzania au haupo duniani kama huyajuwi hayo.
Ni Mtanzania au Mwafrika mjinga tu leo hii asiyeyaelewa hayo, tunakuombea Mungu uelimike kwa kujisomea sio kujazwa ujinga tu na waliokugawa wakakutawala.
Leo hii ukiambiwa hii himaya yako yenu yote unaoijuwa wewe kama Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar kabla ya Wazungu kukaa katika mkutano wao maarufu huko Berlin na kujigawia dunia kama keki. Unalielewa hilo?
Tatizo unalazimisha wote tuamini dini yako. Dini ni mojawapo ya mambo ya kijinga sana ambayo wakoloni waliyatumia kuutweza utu wa mwafrikaChuo cha Dar Es Salaam. Hivi unaelewa kuwa hilo jina unalolijuwa wewe kuwa ni jiji kubwa katika Tanzania lilianza kama chuo? Naam, chuo cha Waislam na mpaka leo majengo yanayotumiwa kama Ikulu ndio hicho chuo cha Waislam kwa jina Dar us Salaam? na Hospital ya Ocean Road ya leo hii ndiyo ilikuwa mabweni ya hicho chuo?
Mnashangaza sana mnapojidai kuwa hata historia yenu hamuielewi. Kama mlijazwa ujinga shule basi mnashindwa hata kujisomea wenyewe historia> Hizo simu na mtandao mnazitumia kwa ujinga tu na sio kwa kujisomea mkajielewa?
Msomi mmoja wa historia nimemsikia akisema "historia ni kama kioo cha kujitazamia" Ulivyo, sasa wewe kama hata histpria yako huijuwi unajitazama vipi?
Vyuo kwa jina la vyuo vyote. Au huelewi kuwa "madrassa" za Kiislam kwa jina lingine ni vyuo? Hujawahi kuwasikia watoto wa Kiislam wakienda "chuoni"? Utakuwa huishi Tanzania au haupo duniani kama huyajuwi hayo.
Ni Mtanzania au Mwafrika mjinga tu leo hii asiyeyaelewa hayo, tunakuombea Mungu uelimike kwa kujisomea sio kujazwa ujinga tu na waliokugawa wakakutawala.
Leo hii ukiambiwa hii himaya yako yenu yote unaoijuwa wewe kama Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar kabla ya Wazungu kukaa katika mkutano wao maarufu huko Berlin na kujigawia dunia kama keki. Unalielewa hilo?
Dini inakupeleka puta sana ndgu yangu.Chuo cha Dar Es Salaam. Hivi unaelewa kuwa hilo jina unalolijuwa wewe kuwa ni jiji kubwa katika Tanzania lilianza kama chuo? Naam, chuo cha Waislam na mpaka leo majengo yanayotumiwa kama Ikulu ndio hicho chuo cha Waislam kwa jina Dar us Salaam? na Hospital ya Ocean Road ya leo hii ndiyo ilikuwa mabweni ya hicho chuo?
Mnashangaza sana mnapojidai kuwa hata historia yenu hamuielewi. Kama mlijazwa ujinga shule basi mnashindwa hata kujisomea wenyewe historia> Hizo simu na mtandao mnazitumia kwa ujinga tu na sio kwa kujisomea mkajielewa?
Msomi mmoja wa historia nimemsikia akisema "historia ni kama kioo cha kujitazamia" Ulivyo, sasa wewe kama hata histpria yako huijuwi unajitazama vipi?
Vyuo kwa jina la vyuo vyote. Au huelewi kuwa "madrassa" za Kiislam kwa jina lingine ni vyuo? Hujawahi kuwasikia watoto wa Kiislam wakienda "chuoni"? Utakuwa huishi Tanzania au haupo duniani kama huyajuwi hayo.
Ni Mtanzania au Mwafrika mjinga tu leo hii asiyeyaelewa hayo, tunakuombea Mungu uelimike kwa kujisomea sio kujazwa ujinga tu na waliokugawa wakakutawala.
Leo hii ukiambiwa hii himaya yako yenu yote unaoijuwa wewe kama Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar kabla ya Wazungu kukaa katika mkutano wao maarufu huko Berlin na kujigawia dunia kama keki. Unalielewa hilo?
Chuo cha Dar Es Salaam. Hivi unaelewa kuwa hilo jina unalolijuwa wewe kuwa ni jiji kubwa katika Tanzania lilianza kama chuo? Naam, chuo cha Waislam na mpaka leo majengo yanayotumiwa kama Ikulu ndio hicho chuo cha Waislam kwa jina Dar us Salaam? na Hospital ya Ocean Road ya leo hii ndiyo ilikuwa mabweni ya hicho chuo?
Mnashangaza sana mnapojidai kuwa hata historia yenu hamuielewi. Kama mlijazwa ujinga shule basi mnashindwa hata kujisomea wenyewe historia> Hizo simu na mtandao mnazitumia kwa ujinga tu na sio kwa kujisomea mkajielewa?
Msomi mmoja wa historia nimemsikia akisema "historia ni kama kioo cha kujitazamia" Ulivyo, sasa wewe kama hata histpria yako huijuwi unajitazama vipi?
Vyuo kwa jina la vyuo vyote. Au huelewi kuwa "madrassa" za Kiislam kwa jina lingine ni vyuo? Hujawahi kuwasikia watoto wa Kiislam wakienda "chuoni"? Utakuwa huishi Tanzania au haupo duniani kama huyajuwi hayo.
Ni Mtanzania au Mwafrika mjinga tu leo hii asiyeyaelewa hayo, tunakuombea Mungu uelimike kwa kujisomea sio kujazwa ujinga tu na waliokugawa wakakutawala.
Leo hii ukiambiwa hii himaya yako yenu yote unaoijuwa wewe kama Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar kabla ya Wazungu kukaa katika mkutano wao maarufu huko Berlin na kujigawia dunia kama keki. Unalielewa hilo?
Hapana, hatulazimishi kitu, tunaandika ukweli ambao wewe huupendi. Kama tumesema uongo wewe weka ukweli uujao na sisi tuta prove kuwa huo ukweli wako ni ujinga uliojazwa nao na waliokugawa wakutawale. Na kwa akili kama zako utatawaliwa maisha, Hilo kumbuka.Dini inakupeleka puta sana ndgu yangu.
Mbona mnalazimishia sana historia yenu ya kubandika kwa gundi.
Yaani Tanganyika ilikua Zanzibar!??? Mtawala wa wakati huo alikua nani?
Alitawala vipi eneo lote hilo??
Ni kipi kilitokea hadi utamaduni wa Zanzibar haukuenea maeneo yote ama hiyo Zanzibar ilikua ni jina tu na sio miliki ya wazenji??
Duh. Mimi nakwambi Ikulu ilikuwa chuo cha Waislam na ndipo ukapata jina Dar Us Salaam. Wewe unakuja na uongo eti "chuo kilijengwa wakati wa muingereza", huyo 'muingereza wako yupi aliyenjenga chupo Tanganyika na hicho chuo kinaitwaje.Unaumwa wewe!
Chuo cha Dar es salaam kilijengwa wakati WA ukoloni wa muingereza, tena ilikuwa College tuu.
Waarabu hawakuwahi kujihusisha na mambo ya Elimu hapa Tanzania,
Walijihusisha na biashara, utawala na mambo ya kidini.
Kuhusu Ikulu hiyo ni nje ya Mada.
Nimekuambia utaje ni shule ipi au Chuo kipi kilijengwa na Waarabu naona huna unachojua unakalia kuongea maneno ya vijiweni sidhani hata hicho Chuo ulichokitaja umekisoma licha ya kuwa kipo katika miji yenu.
Tatizo lako Faiza umekuwa mlevi WA Imani yako ndio maana kila kitu unaongea Kama Mlevi wa pombe, unazungumzia ushabiki.
Hapana, hatulazimishi kitu, tunaandika ukweli ambao wewe huupendi. Kama tumesema uongo wewe weka ukweli uujao na sisi tuta prove kuwa huo ukweli wako ni ujinga uliojazwa nao na waliokugawa wakutawale. Na kwa akili kama zako utatawaliwa maisha, Hilo kumbuka.
Dini ni njia, njia ipi? Simpo. Ni njia ya kufata ili uishi vyema na ikufikishe kwenye mwisho mwema, sasa wewe kama huna dini, maana yake ni kuwa hauna njia ya kufata. Ni juha tu. Simpo.
Duh. Mimi nakwambi Ikulu ilikuwa chuo cha Waislam na ndipo ukapata jina Dar Us Salaam. Wewe unakuja na uongo eti "chuo kilijengwa wakati wa muingereza", huyo 'muingereza wako yupi aliyenjenga chupo Tanganyika na hicho chuo kinaitwaje.
Dah, utakuta wewe huwa unasema umesoma mpaka chuo kikuu. Hakika umesomea ujinga.
Kwani ukiishi vyema bila kua na dini kuna tatizo ndgu?Hapana, hatulazimishi kitu, tunaandika ukweli ambao wewe huupendi. Kama tumesema uongo wewe weka ukweli uujao na sisi tuta prove kuwa huo ukweli wako ni ujinga uliojazwa nao na waliokugawa wakutawale. Na kwa akili kama zako utatawaliwa maisha, Hilo kumbuka.
Dini ni njia, njia ipi? Simpo. Ni njia ya kufata ili uishi vyema na ikufikishe kwenye mwisho mwema, sasa wewe kama huna dini, maana yake ni kuwa hauna njia ya kufata. Ni juha tu. Simpo.
Sema hiko Chuo cha kiislam kilikuwa mwaka gani katika nchi ipi?Duh. Mimi nakwambi Ikulu ilikuwa chuo cha Waislam na ndipo ukapata jina Dar Us Salaam. Wewe unakuja na uongo eti "chuo kilijengwa wakati wa muingereza", huyo 'muingereza wako yupi aliyenjenga chupo Tanganyika na hicho chuo kinaitwaje.
Dah, utakuta wewe huwa unasema umesoma mpaka chuo kikuu. Hakika umesomea ujinga.
Mbona hajataja Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)? Kasema Chuo cha Dar es Salaam kwa kufafanua kwamba kilikuwa chuo cha waislam ilipo ikulu ya Dar es Salaam. Jitahidini kusoma comment na kuielewa vinginevyo huyu bibi atawaburuza.Hujui mwaka 1961 Chuo cha udsm kilikuwa Tawi la chuo kikuu cha London? Na ilikuwa College tuu Wala haikuwa Chuo kikuu!