VERDAD
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 275
- 532
Mtoa mada ameleta kitu very positive tujadili anakuja mtu kuleta mambo ya dini humu,ni strong sense of inferiority na uduni wa fikra katika kuchambua mambo.
1.Chuo kikuu cha Dar-es-salaam hakina uhusiano hata kidogo na dini fulani ila mahitaji ya wataalamu kwa kipindi hicho kilisukuma kujengwa kwake kikianza kusomesha wanasheria
2.kusema miaka ya 70 aliposema mtoa mada si kwa maana watu wa miaka 70 na si kweli mkoloni alisomesha watu wengi hivyo,la hasha ila Nyerere katika kupambana na maadui wakuu watatu wa taifa kwa wakati huo (umasikini,ujinga na magonjwa) aliona watu wakufanya ayo mapambano ni watu wazima na si watoto hvyo program tajwa na moja ya mchangiaji zilianzishwa ili watu wazima ambao waliachwa mbu mbu mbu na mkoloni wapate elimu kwa lengo ja tajwa hapo juu.
3. Ukisema wakoloni walitumia lugha ya kiarabu kufundishia ama mawasiliano,unaongelea wapi?na wht is point of it?maana navyofahamu kwa Tanganyika shule zilijengwa nyingi sana Kilimanjaro na Kagera na kote walitumia kingereza na kijerumani,hali kadhalika masasi-Mtwara, Tabora na kwngneko,wapi ilitumika lugha ya kiarabu kufundishia?
4.Mada za chuo ama shule fulani ilijengwa na watu wa imani fulani inaletwa sana na watu wa imani fulani ambao hawakujenga hata,wakoloni walijenga mashule,vyuo na mahospitali nying tuu mfano muhimbili kwa jna la sasa,Late HE.Nyerere kupitia ujamaa na gud wil akachukua vyuo,shule za serikali mpk za wamisionari na kuzitaifisha,hapo watoto wa imani tofauti wakamiminika mashuleni kupata elimu na angalau kucatch-up na wenzao wa kikristo ambao walishakua wakinufaika for years na huduma hizo,sasa ukisema watu wa imani kiislamu walisoma sana zaidi ya wengne najiuliza elimu ya dini ama hii elimu dunia?
5. Ukosefu wa elimu kwa waislam mpk kufikia kipindi cha harakati za kudai uhuru ndio ulipelekea wao kupitia jumuia yao AMNUT kuomba uhuru ucheleweshwe ili kupata muda wa wao kupata elimu la sivyo watatawaliwa na wenzao wakikristo.
6.Mpaka leo bado zipo taasisi nyingi tuu za kikristo zpo chini ya serikali wamegomea kuzirudisha na wote tunazitumia bila kujali imani zetu,mfano Marangu Teachers College.Name taasisi za imani tofauti zilizochukuliwa for good na serikali.
Mwisho,natamani sana tuwe na mijadala huru bila kujionyesha tofauti zetu za kiitikadi hasa dini na kabila kwa kuwa mijadala hii inahusisha imani na si logic na pia unazi ama ushabiki ambao unaambatana na vingi tusivyovifahamu.