Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

Mtoa mada ameleta kitu very positive tujadili anakuja mtu kuleta mambo ya dini humu,ni strong sense of inferiority na uduni wa fikra katika kuchambua mambo.
1.Chuo kikuu cha Dar-es-salaam hakina uhusiano hata kidogo na dini fulani ila mahitaji ya wataalamu kwa kipindi hicho kilisukuma kujengwa kwake kikianza kusomesha wanasheria
2.kusema miaka ya 70 aliposema mtoa mada si kwa maana watu wa miaka 70 na si kweli mkoloni alisomesha watu wengi hivyo,la hasha ila Nyerere katika kupambana na maadui wakuu watatu wa taifa kwa wakati huo (umasikini,ujinga na magonjwa) aliona watu wakufanya ayo mapambano ni watu wazima na si watoto hvyo program tajwa na moja ya mchangiaji zilianzishwa ili watu wazima ambao waliachwa mbu mbu mbu na mkoloni wapate elimu kwa lengo ja tajwa hapo juu.
3. Ukisema wakoloni walitumia lugha ya kiarabu kufundishia ama mawasiliano,unaongelea wapi?na wht is point of it?maana navyofahamu kwa Tanganyika shule zilijengwa nyingi sana Kilimanjaro na Kagera na kote walitumia kingereza na kijerumani,hali kadhalika masasi-Mtwara, Tabora na kwngneko,wapi ilitumika lugha ya kiarabu kufundishia?
4.Mada za chuo ama shule fulani ilijengwa na watu wa imani fulani inaletwa sana na watu wa imani fulani ambao hawakujenga hata,wakoloni walijenga mashule,vyuo na mahospitali nying tuu mfano muhimbili kwa jna la sasa,Late HE.Nyerere kupitia ujamaa na gud wil akachukua vyuo,shule za serikali mpk za wamisionari na kuzitaifisha,hapo watoto wa imani tofauti wakamiminika mashuleni kupata elimu na angalau kucatch-up na wenzao wa kikristo ambao walishakua wakinufaika for years na huduma hizo,sasa ukisema watu wa imani kiislamu walisoma sana zaidi ya wengne najiuliza elimu ya dini ama hii elimu dunia?
5. Ukosefu wa elimu kwa waislam mpk kufikia kipindi cha harakati za kudai uhuru ndio ulipelekea wao kupitia jumuia yao AMNUT kuomba uhuru ucheleweshwe ili kupata muda wa wao kupata elimu la sivyo watatawaliwa na wenzao wakikristo.
6.Mpaka leo bado zipo taasisi nyingi tuu za kikristo zpo chini ya serikali wamegomea kuzirudisha na wote tunazitumia bila kujali imani zetu,mfano Marangu Teachers College.Name taasisi za imani tofauti zilizochukuliwa for good na serikali.
Mwisho,natamani sana tuwe na mijadala huru bila kujionyesha tofauti zetu za kiitikadi hasa dini na kabila kwa kuwa mijadala hii inahusisha imani na si logic na pia unazi ama ushabiki ambao unaambatana na vingi tusivyovifahamu.
 
Mbona hajataja Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)? Kasema Chuo cha Dar es Salaam kwa kufafanua kwamba kilikuwa chuo cha waislam ilipo ikulu ya Dar es Salaam. Jitahidini kusoma comment na kuielewa vinginevyo huyu bibi atawaburuza.

Nimemuelewa vizuri tuu.
Hicho Chuo cha kiislam alichokiita Chuo cha Dar es salaam kilianzishwa Mwaka gani?

Kilikuwa chuo kama College au University?
Au ndio kama hizi madrasa zilizopo mtaani zinazoitwa Chuo.
Kama ni hizi madrasa ndio iliitwa Chuo basi naomba mjadala niishie hapa nisije zua tafrani
 
Sema hiko Chuo cha kiislam kilikuwa mwaka gani katika nchi ipi?
Ili ujue wewe ndio mjinga
Hana jibu huyo.
Ishu ni kua ni kweli kasoma historia ila historia aliyoisoma yeye ni kuhusu mambo anayotaka ayasikie yeye na yale yanayomfurahisha hata kama ni ya uongo mkubwa ila kwake ni ya kweli kisa yamehusisha dini yake.
 
Hana jibu huyo.
Ishu ni kua ni kweli kasoma historia ila historia aliyoisoma yeye ni kuhusu mambo anayotaka ayasikie yeye na yale yanayomfurahisha hata kama ni ya uongo mkubwa ila kwake ni ya kweli kisa yamehusisha dini yake.

Ila nimemuelewa kumbe kwao madrassa ni Chuo Kama ni hivyo tumkubalie.

Anaposema Hati ya Kiarabu atuambie ni lini na katika shule ipi Tanganyika ilifundisha Kwa Hati(bila Shaka anamaanisha Alphabeti) za kiarabu.

Nafikiri kuna mambo ya Msingi asiyoyajua kuhusu Historia hasa ya eneo hili ambalo Kwa sasa linaitwa Tanzania, na kipindi cha ukoloni liliitwa Tanganyika.
 
Wewe mwenyewe hujui kuandika vizuri, uzi wako una makosa lukuki ya kiuandishi
 
Mbona hajataja Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)? Kasema Chuo cha Dar es Salaam kwa kufafanua kwamba kilikuwa chuo cha waislam ilipo ikulu ya Dar es Salaam. Jitahidini kusoma comment na kuielewa vinginevyo huyu bibi atawaburu

Upo right mkuu,hapo hatujakaa sawa ila swala la kuleta udini kwenye mada za msingi zinafrustrate sana jamvini
 
Nimekaa vijiji vya ndani Sana wilayani kiteto changamoto ya kielimu ni kubwa Sana hasa jamii za kifugaji na wakulima wengi wanakaa mbali na huduma hizo za kijamii wanachokijua nikuoa nakuolewa mtoto akishavunja ungo
 
Tatizo wewe bibi una udini kinyama. Kuna mtu anaitwa mzee Mohamed Said hamjapishana sana msimamo sema angalau yeye ni msomi wa ukweli na ana exposure.
 
Wewe unanshangaza sana. Hivi utamaduni ulionao sasa hivi, hata wa kuongea Kiswahili huujuwi ni wa wapi?

Hata neno 'Ustaarabu" unaelewa maaana yake?
Pole sana,unaonesha hujielewi kabisa? Kwenu ni hii hii Tanganyika? Sasa nambie hilo jina Tanganyika asili na maana yake yake ni nini au limetokea wapi?
 
Tatizo wewe bibi una udini kinyama. Kuna mtu anaitwa mzee Mohamed Said hamjapishana sana msimamo sema angalau yeye ni msomi wa ukweli na ana exposure.
Sasa wewe 'tatizo" lako ni nini hapo? Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam, wewe kama huupendi na uona ni 'tatizo isikuumize kichwa chako, unajitafutia "tatizo mwenyewe kwa ujuha wako tu. Mimi wewe una dini huna dini, kwanini liwe "tatizo" langu? To hell.
 
Maombi yenu naumwa yutiyai 😝😝😝
Hiho sawa 🙄🙄🙄🙄
Rikubwa 🧐🧐🧐🧐
Hera😭😭😭😭
Kwa kweli inaboa sana
 
Acha kuingiza habari za dini sehemu isiyohusika. Wewe bibi umeishia darasa la ngapi?
 
Acha kuingiza habari za dini sehemu isiyohusika. Wewe bibi umeishia darasa la ngapi?
Dira...
Mimi nitamjibia Maalim Faiza.

Bahati mbaya bna ninashangaa iweje humjui kwani ingekuwa umepata kumsoma siku za nyuma ungetambua kuwa si wa kawaida.
Faiza ana elimu kubwa sana toka udogoni darasani alikuwa siku zote, ''above average.''

Nakusihi usibishanenae katika suala la elimu yake.
 
Tatizo wewe bibi una udini kinyama. Kuna mtu anaitwa mzee Mohamed Said hamjapishana sana msimamo sema angalau yeye ni msomi wa ukweli na ana exposure.
Dira...
Ikiwa mimi ni mdini kwa uandika historia ya kweli wale waandishi wa Chuo Cha CM Kivukoni waliofuta historia ya kweli ya TANU ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa kutishwa na majina ya Waislam unawaitaje?
 
Mbona hajataja Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)? Kasema Chuo cha Dar es Salaam kwa kufafanua kwamba kilikuwa chuo cha waislam ilipo ikulu ya Dar es Salaam. Jitahidini kusoma comment na kuielewa vinginevyo huyu bibi atawaburuza.
Hao wanapenda kubishana, hawapendi kuelimika.

Hao ndio utamkuta na tai na koti zito la mtumba, miwani kama kobe na hapo ujuwe kishakwenda haja zote bila kutumia maji kujiosha tupu zake. Halafu anajiona kaendelea.
 
Sasa wewe kuishi "vyema" kivyako ni kuwa bila dini, mimi kuishi vyema kwangu ni kuuishi Uislam wangu. Wewe kinakutatiza nini hapo? Kwanini uone kero Uislam wangu?

Kwanini uone kero tukikwambia hata jina la TANU aliyelibuni ni Muislam? Kwanini uone kero tukikwambia Waislam ndio wenye historia kubwa na ya miaka mingi sana ardhi hii? Tukikwambia hata vita ya maji maji ilikuwa ni "resistance" ya Waislam kukataa kutawaliwa?

Wewe usiye na dini si leta historia yako, ulikatazwa? Na kama ni Mkristo historia yako itaanzia ujio wa mzungu na itashia kwa mzung. Bisha!
 
Hujui mwaka 1961 Chuo cha udsm kilikuwa Tawi la chuo kikuu cha London? Na ilikuwa College tuu Wala haikuwa Chuo kikuu!
Wewe huelewi kusoma, wala huelewi unachokibishia, mimi nimeandika chuo cha Waislam ambacho sasa ni Ikulu. Wewe uanleta porojo tofauti kabisa, hata hizo zitakushinda.

Hiyo UDSM yenyewe labda huelewi kuwa Chuo Kikuu Cha kwanza kilichowekwa jiwe la msingi huko Chang'ombe kilikuwa cha Waislam kikafanyiwa mizengwe. Huelewi hilo? Usilianzishe saa hizi, tutakuwekea mpaka picha hapa. huna haya kuanza hiztoria na London na kuishia na London, una lipi zaidi ya hilo?
 
Wapi nimesema hayo ya "UDSM"? Unajuwa kusoma kweli? Kanisome tena unioneshe wapi nimetaja UDSM.

Walewale wa shule za kusomea ujinga. Sikushangai.
 
Wewe punguani, ni nani aliyeandika kuhusu UDSM? Kanisome tena au unaota, au mmezowea kudanganya mpaka unataka kunilasha upuuzi wako uufanye kama nimeuandika mimi? Hapa ni Wrong number.

Toka lini IKULU ikawa UDSM? Huelewi unachokisoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…