Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hata mie nilisikia hiyo story, eti imejaa hadi August. Kweli njia ya mwongo fupi, wameshajichanganya hapa. Kweli mwaka huu watu watapata tabu, lakini ni watu wa CCM wenyewe!Sasa yule mtu aliyeleta hekaya kwamba drimulaina imejaa yeye kapata nafasi ya mwezi wa 8 alikuwa ni lumumba anafanya propaganda? Watu washapiga usd 104m CHA JUU wametulia hasara kwetu tutakamuliwa kodi mpaka balaa,yaaani fedha zote unazotafuta zinalimwa kodi tu.
Si ndio namshangaa. Yeye atulie tu, tupo kwenye rait trak.Wasi wasi wa nini?
Acha hizo, ulishakuwa mtu mzima sasa.Na ushindwe
IJN
Naomba kueleweshwa zaidi kwa aliyeelewa. Uwezo ni abiria 262, tiketi zilizouzwa ni 244, za asubuhi na 158 za jioni. Maswali yanayonigonga kichwa, 1. Hao 244 na 158 ni wakwenda Mwanza, je kurudi tutarudi tupu? 2. Kama tunasuasua hivi safari ya kwanza, je tutaweza kupata abiria wa kujaza kila siku mara mbili?pitia hapa...View attachment 820157
Subiri uone Mkuu. Najiandaa kazi ya kupigia debe Dreamliner!Naomba kueleweshwa zaidi kwa aliyeelewa. Uwezo ni abiria 262, tiketi zilizouzwa ni 244, za asubuhi na 158 za jioni. Maswali yanayonigonga kichwa, 1. Hao 244 na 158 ni wakwenda Mwanza, je kurudi tutarudi tupu? 2. Kama tunasuasua hivi safari ya kwanza, je tutaweza kupata abiria wa kujaza kila siku mara mbili?
bulongwa Makete?Hapa nilipo kuna Zahanati ya kijiji cha Iyoka(Kipagalo) kuna vitanda,pia jirani kuna Hospitali ya Bulongwa kuna vitanda au sijakuelewa.
Mkuu umesema kweli kabisa. Kwanz tungeanza na hizi bombardie ili twende nchizote zinazotuzunguka na kuji-establish. Then tunaingia Dreamliner.
Hebu fikiria, Dreamliner kwenda Mumbai, abiria wote 262 kuanzia Dar. Tutapata wangapi?
abiria watatoka bujumbura entebe na miji mingine ya jirani
wakati bombadia zinakuja mlipiga kelele mkasema kwanini zisingenunuliwa ili kupambana na mashirika makubwa mkazipa jina la pangaboy mkaapa kuwa hamtapanda leo dreamliner imekuja kuchukua safari za nje yan chi mnalalamika kama vipi fumbeni macho msipate cha kuzungumza
Niambie sababu kubwa ya abiria wa Bujumbura, Entebe na nchi jirani kutaka kupanda Bombardie ya Tanzania ili aje Dar es Salaam kupanda Dreamliner badala ya kutumia Kenya Airways, Rwandair, Air France, British Airways nk, ambazo zinafika huko.
Au unadhani Air Tanzania ndio shirika la ndege pekee Afrika? Think outside the box.
HAYO MASHIRIKA ULIYOYATAJA KWANI NDIYO MASHIRIKA PEKEE YA NDEGE DUNIANI .... HII NI BIASHARA KILA SHIRIKA LINA MIKAKATI YAKE UKIONA ATCL WANAANZISHA SAFARI YA NCHI FULANI JUA TAYARI WAMEJIPANGA
KAMA WEWE HUNA LOLOTE LA KUJIVUNIA KATIKA MAISHA YAKO HUNA SABABU YA KUSHAURI SHIRIKA HATA KAMA UNALIPA KODI .
Watu kama wewe mnaishi kwenye nchi ya kusadikika, mna imani pasipo maarifa. Ni kwa sababu kama unavyosema, kuna mashirika mengine ya ndege ndio maana nikasema nina wasiwasi kama hii ndege itajaza abiria katika safari zake. Unajua ushindani uliopo katika biashara ya safari za ndege? Na unajua damand ya seat za ndege kwa safari za ndani ya Tanzania?
Yaani unataka nijivunie tu vitu amavyo vinaweza kufeli bila kuwa pragmatic na realistic? Mie sio shabiki kipofu wa mambo anayofanya Magufuli bwana, pale anapofanya jema nitamsifia, pale tunapokurupuka nitasema. I am a realist but not pessimist - sijui kama unajua tofauti. Na ndio maana nikatoa mapendekezo ya nini ATC wanaweza kufanya. Watu kama wewe, dogmatic people, siku Magufuli akitangaza Tanzania tumeruhusu ushoga mtashangilia na kutaka kuandamana kumuunga mkono. Give me a break.
Hivi una uwezo wa kufikiri wewe? Mimi sialalamiki, wala kukosoa, naonyesha concerns na kutoa mapendekezo. Ni wapi umeona nimelalamika au kukosoa?mtapata tabu sana yaani mtalalamika sana tu
shirika limeanzishwa kwa ajili ya abiria woote dunia hii sio watanzania pekee
hoja uliyobakiza ni kukuosoa tu ... ni vizuri endelea kukosoa hujakatazwa
Hivi una uwezo wa kufikiri wewe? Mimi sialalamiki, wala kukosoa, naonyesha concerns na kutoa mapendekezo. Ni wapi umeona nimelalamika au kukosoa?
Hebu kakojoe ulale usije ukakojoa kitandani unatupigia kelele humu JF[/Q
UTAPATA TABU SANA .... ngoja airbus mpya zinakuja zimenunuliwa cash
utajua kama abiria watajaa au watafaulishwa
mpaka kufika mwakani ndiyo uje na huo utafitui wako uchwara
hata sasa hakuna jambo la maana utaweza kuelewa wewe kosoa tu una haki
Akili yako ipo kwenye kalio mojamtapata tabu sana yaani mtalalamika sana tu
shirika limeanzishwa kwa ajili ya abiria woote dunia hii sio watanzania pekee
hoja uliyobakiza ni kukuosoa tu ... ni vizuri endelea kukosoa hujakatazwa
Tutakuwa tunajaza mapipa ya ulanzi kutika iringa tunapeleka ulaya!Route ya kwanza tu maudhurio ndio haya
1. First class abiria 2
2. Business class abiria 5
3. Economy (kajamba nani) abiria 237
Empty seats 18......
Ndio muende nje ya nchi labda mwisho wa dunia