Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo nazo hazipaswi ziwe za zama hizi ,lakini kwa kila hali zinaangukia katika zama za giza.Period