Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Naomba nikuulize we ushawai kuwa mwanasayansi au hata engineering.Unaposhindwa kueleza chanzo na wapi mfano leo kama internet na vitu vyako vyote vingekuwa vinatumia tabia yako ungweza kucomment hapa.Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo nazo hazipaswi ziwe za zama hizi ,lakini kwa kila hali zinaangukia katika zama za giza.Period
Hii categorisation ya Chama umenipata wapiUkichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo nazo hazipaswi ziwe za zama hizi ,lakini kwa kila hali zinaangukia katika zama za giza.Period
Mfano hai ni huyu chawa na kapuku Lucas MwashambwaUkichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo nazo hazipaswi ziwe za zama hizi ,lakini kwa kila hali zinaangukia katika zama za giza.Period
Baadhi yao ni samuya bashite madelu njaakaya kabundi wahasira nkUkichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo nazo hazipaswi ziwe za zama hizi ,lakini kwa kila hali zinaangukia katika zama za giza.Period
Lukas Mwashamba
Choice variable
Tlaahtlaah
Kwanini walikuja zama za ustaarabu hawakuwa stone age??