Nina wasiwasi mtoto si wangu. Nitawezaje kuhakikisha?

Mpeleke mtoto kwa shangazi zako ...wakimshika na kumchunguza watakwambia Kama umepigwa bro...
 
Uko sawa trust your guts,na ukifanya maamuzi usirudi nyuma.Ukimwona tu mtoto kama ni wako utahisi chemistry yenu inaendana yaani hata ukimchekea anafurahi,hata ukiongea nae anatulia kukusikia ila ukiona mtoto ukimsogelea analia hahahah sio wako huyo
Uongo
 
Mkuu huna mama,bibi au shanngazi??hao ndio watakusaidia
 
Aisee mbona rahisi,kapime dna,ni sh laki tatu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uko sawa trust your guts,na ukifanya maamuzi usirudi nyuma.Ukimwona tu mtoto kama ni wako utahisi chemistry yenu inaendana yaani hata ukimchekea anafurahi,hata ukiongea nae anatulia kukusikia ila ukiona mtoto ukimsogelea analia hahahah sio wako huyo
hahaahahah....anaona kama kakutana na mzoa taka taka wa BUDEGE
 
Mkuu pole sana, mim ninakotoka kuna mila mtoto anafanyiwa anapoenda nyumban kwa mara ya kwanza kabisa kama sio mtoto wa hiyo boma lazima atakufa mwambie wife/mzazi mwenzio kuhusu hiyo mila inaweza kukusaidia kupata signal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…