Nina wasiwasi na mke wangu...

Mkuu atanieleza leo ata makofi atakula asipoangalia mi ujinga staki kasha nitibua yaan now simuelew kabsa kiongoz
Ulitakiwa umkazie asiende kokote, mie nilishakamataga mtu kwa visingizio hivyo hivyo vya dada sijui ndugu. Mwisho wake nilifunga jalada.
 
Nahisi hili jamaa litakuwa bonge halafu limekulia familia ya kishua yaani ni lizembe lizembe flani hivi sio kama watoto tuliokulia uswazi vichwa vimekomaa!
Hivi badala hao ndugu wakupigie wewe kumuombea ruhusa mkeo aende eti wanampigia mkeo bila kukushirikisha wewe halafu bado unajiita mume?
Ama kweli uchawi upo!.
Subiri tu kuletewa jamaa hapo kwako utambulishwe kwamba ni anko wake amekuja mjini kuonana na specialist wa magonjwa ya moyo then ukienda kazini jamaa linaingia chumbani kwako linamto mba mkeo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sikiliza, shika hiki nachokwambia, wanawake wamekua ni MALAYA sana(siyo wote) akirudi mgeuzie sura na uvae sura ya kiKurya ukimhoji kama una uhakika na jambo baya amaefanya, fungasha mpaka mabegi yake aondoke uone, nakwambia utamsikia anaongea yote... Kwa kifupi huyo ameshaliwa na bwana mwingine, na Wala hakufai tena, wakati mwingine hutamshika mkeo ugoni ila unaweza kujilidhisha na ushahidi wa kimazingira, tena hawa wanawake wanaotoka asbh na wao wanaenda kazini na kurudi jioni, ogopa sana... Kuliko kua na mwanamke anayekuchit ni afadhari ukae peke yako, nauhakika huyo ameliwa na wewe hufai tena kwake ila yupo kama kivulini tu.
 
Dah..! Yaani umemaliza kila kitu utadhani umesoma mawazo yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mleta mada anaonekana ni mdebwedo yaani mzembemzembe halafu sio mjanja kivile yaani mke alishamsoma jamaa ni boya
 
Mapenzi yanaumiza sana,mie kuna binti nipo nae kwenye mahusiano ni Mwaka sasa-anaishi na Dada yake huwa ananieleza hawezi kutoka kwai mwisho kutoka kwao ni SAA 12 jioni.Mungu sio mzee mkumba Jana nimekutana nae katika grocery moja mida ya SAA 4 usiku akiwa na majamaa 2.Badaye namuuliza ananiambia ni marafiki zake kwa kweli nilihisi kuzimia mwili wote ulikosa nguvu ,Leo siku nzima sijalala kwa kweli.
 
Kinachokufanya usilale ni nini?
 
Hao ndugu zake wa Singida ungewapigia simu kuwauliza walimuitia nini huko na ikawaje na pia uoanishe na majibu atakayo kupa yeye

Nikweli mkuu nahicho ndo nnachokitaka kukifanya ndo namsubilia arud leo
 
Tujifunze wanaume safari hiyo mwanamke habaswi kukupa taarifa anapaswa aombe ruhusa ukikataa anabaki ukimpa go ahead anaenda mie nikionaga nn tu nasema Moja tu hakuna safari

Siongei tena

Nikweli mkuu upo sahihi
 

Nikweli mkuu upo sahihi
 

Nikweli mkuu kuna something behind
 

Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…