Nina wasiwasi na mke wangu...

Nina wasiwasi na mke wangu...

Kwnza una uhakika gani kama kweli kasafari? tuanzie hapo na kingine hao mashemeji zako kwanini wasingekupigia wewe kumtaka mkeo kama kuna tatizo la uhalaka hivyo na lakumtoa mkeo nje ya mkoa au unaishi na mtoto wa watu bila kujulikana kwao?

Hapana mkuu ni mkewangu na niomemuoa
 
Usisahau kuja kutupa mrejesho! Ila nina asilimia 100 kuwa mkeo kapigwa nje! Je uliwasiliana na ndugu zake waliomwita? Au unaishi staili gani na mkeo ya maisha?

Hapana mkuu sababu teali hajui target yangu sasa nikisema niwapigie dadazake kama kuna hovu watampanga namsubili kwanza alud ndo itajulikana
 
Lbda huna sauti kwake au huna sauti kwenye familia,ndugu za mkeo wakimuhtaj dada yao taarifa lzma upewe ww kwanza,inaonekana huyo anakuendesha sn

Hapana mkuu nivile tu sikutaka ku doubt
 
Ndo tatizo la innocent people, mpole poleee, kila kitu jibu ni sawa...Jambo kama hulitaki mwambie mkeo HAPANA SITAKI, unasema sawa huku unaona si sawa? Utaishi maisha ya huzuni sana.
 
Kwanza jambo łakwanza huyo dada yake(Shemeji yako) ilipaswa pia akupe taarifa ya kumuhitaji mkeo.
Pili mwanamke anaomba ruhusa ya safari na sio kutoa taarifa ya safari hai make sense kabisa.
But yote umeyalea mwenyewe hapo MBUSUSU IMEPIGWA

Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
 
Next time unapoambiwa nimeitwa nyumbani mwambie aliekuita ndio akupigie simu akuombe ruhusa na akupe sababu ya kutaka mkeo aende kwao.
Pia akifika huko aendako walioko nae wakupe mrejesho kafika.

Kuna mmoja aliaga anaenda Mwanza kwao kutokea Dar kumbe yupo hapo Victoria kwenye jengo refu kama unaenda Kairuki hospital anagongwa na wanaigeria for seven days.

Wakware wakamuona na nakumpa jamaa taarifa na ukweli ndoa iliishia hapo. Hivyo kwa hali ya sasa verifications muhimu.
 
Mimi mke wangu kuchukuliwa na mama tu kwenda kokote ni mpaka mama aniambie wiki moja before.. huyo ni mama yngu yani. Imagine mtu tu apige simu.. haahahah ila hizi ndoa za wakuu wa kaya wanawake zina shida sana

Nikweli mkuu upo sahihi
 
Nlitaka niseme maneno magumu nkaona hapa modi hawashindwi kunipiga ban af nkakosa uhondo.
Mpka sasa hv 1st half away team wanaongoza kwa goli 3.
Blaza, usisahau kunitag kwenye mrejesho

Usjali mkuu
 
Kwa hiyo unataka sisi tukuulizie kwa dada yakr kuhusu kumuita mkeo ghafla?

Kama ulimruhusu mkeo asafiri basi peleka machozi yako kwa mtoni.

Sawa mkuu shukrani
 
Ungemwambia tu usiondoke leo ondoka kesho moja kwa moja dar. Kingine mpigie sister ake muulize kwa kumtega,vipi wazima huko?. Wife anataka kuja huko ni kwema. Wasikie wanasemaje
 
Hapo kabla ya kuanza kutafakali la mkeo
Hebu tuanze kukutafakali wewe!
Mwanamke hafanyi tu bila ya reflection ya mume wake
Wewe na yeye nani mkuu wa kaya?

Ok uliwasiliana na dada yake?
Inakuaje dada yake aongee na mdogo wake baada ya kuongea na wewe? Wewe si umeowa kwao?
 
Back
Top Bottom