Nina wasiwasi na mke wangu...

Watu mnacomplicate sana maisha, kujitesa bure kwaajili gani?
Eee Mungu kama kweli upo niepushe na ugonjwa wa kumfatilia binadamu.
 
Unaishi vp na mkeo mzee
Au yy ndiye mkuu wa kaya
Mwanaume inatakiw ww ndiy uamue asafir au asisafiri

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Na ndipo alipokosea mjuba kupokea taarifa ya safari ,akaitafasiri kua ameombwa ruhusa ya safari na mkewe na akamruhusu akasepa .Kua kama kamanda usitabilike sometimes Yes sometime No
 
Watu mnacomplicate sana maisha, kujitesa bure kwaajili gani?
Eee Mungu kama kweli upo niepushe na ugonjwa wa kumfatilia binadamu.
Km anamaswali mengi yanataka majibu kufuatilia hakukwepeki. Hio ni nature.
 
Km anamaswali mengi yanataka majibu kufuatilia hakukwepeki. Hio ni nature.
Ni rahisi sana kumgundua mtu wako kama bado anakupenda au la. Mkiona matatizo hayaishi muache aende zake...kufukunyuana mwisho wa siku ndo mnagundua mambo makubwa mwisho wake ni vita hadi kuuana.
Kwanini mfike huko? Piga chini baki kwa amani. Maisha ni mazuri tunayaharibu sisi wenyewe.
 
kwani nani kamuoa mwenzio hapo kwako?

yaani mkeo anakwambia usiku kuwa kesho anasafiri kama vile boss anamuaga housegirl?


anyways subiria siku upangiwe shift ya kulala my bedroom yenu ya ndoa na siku zingine atakua anafanyia kazi za ofisini humu na boss wake...
 
Sijaowa bado ila hili lako lingekuwa dogo sana kwangu.

Mambo kama haya yanatukata mzuka sana wa kuishi na mtoto wa mtu.
 
Moja kati ya comment Nzuri sana sana, niseme tu na mie NAKAZIA👊👏👏
 
Reactions: Tsh
Mm kwenye swala hili bdo namlaumu jamaa,

Mm jana mtoto wa shangazi yake na wife alikua na birthday part,wife akanipanga toka juzi nikamtafutia na kacake ka 25k sasa jana mchana nkampa nauli na nkamtahadharisha "HAKUNA SABABU YOYOTE ITAKAYOKUFANYA ULALE HUKO"

Jioni km saa 12 nikaenda na vizawadi vya mtoto thn nkamwambia niko grocery ya jiran nakusubiri,km saa 3 ivi kaja na kasura ka huruma eti naomba nilale nije kesho kuna maongezi na aunt sijamaliza na pia kuna kazi namsaidia,

Nikamwambia BIG NO.

Akaanza kuleta lawama eti namnyima asikae na aunt ake wkt ndo amemlea nikamuuliza unajua n kwanini mwanamke anafanyiwa send off?nikamuambia chunguza ilo alf utanijibu,alf nikamuuliza niondoke au tuondoke??mwenyewe akatangulia tukaondoka.


Moral of de story.HAWA WATU HATA MAMBO MADOGO INABIDI TUWAONESHE UMWAMBA ILI MAMBO MAKUBWA YAWE RAHISI KUYATATUA,
 
Oya mwamba hivi umu sijui wanakuelewa kama navyokuelewa but wewe ni real definition ya AKILI kubwa and positive, tumeishi kwa kujiongopea kwenye umiliki wa mwanamke tukasau kuwa huyu ni kiumbe ambaye Ana maamuzi yake kibafsi ,mkeo sio GAri au shati unalo limiki BT ni mtu uliyekubaliana naye muishi pamoja na mfanye uzao wenu BT kumbuka Ana utashi wake, nimefurahi kuona comment Nzuri sana ,tukijua hili tutapunguza vifo kwenye jamii zetu vitokanavyo na mahusiano AMA ndoa, hongera mkuu 👏 ,( wanasema tuishi nao kwa AKILI mnataka AKILI ipi kwani wao matahira, mtu mzima na maamuzi yake)
 
Reactions: Tsh
Yule jamaa anayemkula baada ya kuhamishiwa Dodoma na Magu kila akija mjini anamkula na sasa mwanamke kaamua kumfuata Dodoma baada ya kumiss show yake.
Watu wa Singida ni vyema waoane wenyewe
 
Oya tuma airtel money yako chap nifanye muamala ukanywe soda kwa mangi ,isee unatema madini !!
 
Mkuu kweli kabisa unachosema. Umetoa mfano mzuri, Mwanaamke sio gari kuwa ukishajaza mafuta unaamua liende wapi au shati kuwa ukishalivaa unaenda nalo popote bila kuhojiwa.
 
Hiyo ilinikuta na mimi juzi kati ,nikamwambia anayepaswa kunipa taarifa kwamba unaitajika kwenda kwenu ni hao waliopo kwenu kinyume na hapo hapa huondoki,nikapigiwa simu na kaka zake ndo nikatoa ruksa na nikamwambia natoa siku moja tu!
 
Mkuu kweli kabisa unachosema. Umetoa mfano mzuri, Mwanaamke sio gari kuwa ukishajaza mafuta unaamua liende wapi au shati kuwa ukishalivaa unaenda nalo popote bila kuhojiwa.
Life is simple wanaume tunajibebesha mizigo mikubwa mno kumchunga mwanadamu for the rest of our miserable life, isee !!, kichwa kitatue changamoto za maisha yenu halafu huku nyuma jitu lihangaike na kiungo chake, uache yote hayo uhangaike naye pia, mwisho muuwane muwatese uzao wenu aloo hilo, Mungu anipushilie mbali nalo
 
Reactions: Tsh
Mkuu huko ni mbali sana kuitwa bila kupewa sababu, yani leo ndugu yako yuko mkoa aseme njoo haraka ukija nitakuambia sababu ya kukuita we unaweza kwenda?? Haiingii hata akilini upoteze nauli bila kujua why unaenda[emoji3] mkeo genius.
Alafu hapo hapo mkuu jamaa kama anaishi vizur na shemej zake kwa nn asiwaulize kunashida gan?huko singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…