Nina wasiwasi na mke wangu...

Ungewapigia Shemeji zako kwanza ili kufanya confirmation.
 
Kwanini ukuwauliza walimuita wamemuitia nini? Na pia kwanini wasimuombee ruhusa kwako? Ulitakiwaa kuonyesha kuwa wewe ndio mwenye maamuzi, hivyo ungewapigia simu na kuwakatalia kuwa haji, kama kuna chochote wamwambie kwa simu, kwisha.
 
Mambo mazito kama haya mimi siwezi kuomba ushauri in public. Nitazidi kuchanganyikiwa
Hapana utapanuka kiakili na kujua mambo mengi yaliyokuwa huyajui na yaliyojificha.
 
[emoji23][emoji23]
 
Inaonekana ni mtu usiependa kuongea, mabishano, kero kero wala stress. Jamaa inaonekana umepoa sana ndo maana hukutaka kuhoji sana, huwa tunachukulia vitu easy tu na hata kuja na majibu mepesi tu kama "aya", "poa", "haina shida" etc

Kuna bro mmoja wife wake alitoka tu akaenda sehemu bila taarifa, jamaa akamwambia usitoke hapo mpaka nije nihakikishe ni kweli upo hapo. Noma iliyotokea, tangu siku hiyo yule dada haendi mbali bila kutoa taarifa hata kama bro kasafiri. Hata kama nyumbani kwao kuna tukio, mama ake ndio huwa anampigia simu bro na tukio liwe la msingi.

Hawa wanawake aiseee ukiwa ronya ronya hutoboi, yani ni kwenda nao mkono wa chuma tu ukijikuta mzungu sana utadombewa mpaka na watoto wa chuo!
 
Hivi mke anasema kuwa kesho nasafiri mkuu Na wewe unamruhusu Mimi ningemwambia SEMA hakuna hyo Mimi tu ndo Nina mandatory ya kusema kesho nasafiri ila syo mke
 
mzee inaonekana wewe unalelewa na wife ndo head of the family huwezi ruhusu ujinga huo..wife ana safiri na sababu za safari hazina kichwa wala miguu ni ufalaa sanaa wewe UNALELEWA wewe ndo umeolewa hapo...KWISHA HABARI..na hapo Dom kuna kidume kinakutombea mno mno aisee... So SAD..!!!
 
Nmeipenda sana io
 
Asantee mkuu shukrani sana mungu akubariki kwa ushauri wako nitafanyia kazi
anakufariji kisenge huyu...mkeo keshalombwa...hapo Makao makuu..ana njemba hapo si utani...akifika tu we kamata simu yake ghafla kaa nayo uone nini kinaendelea!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bomuu hili
 
Wewe jamaa unaendeshwa na mkeo! 95% wew ni mvulana na sio mwanamume, unamruhusu mkeo kujiendesha wakati wew muamuz upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…