Inaonekana ni mtu usiependa kuongea, mabishano, kero kero wala stress. Jamaa inaonekana umepoa sana ndo maana hukutaka kuhoji sana, huwa tunachukulia vitu easy tu na hata kuja na majibu mepesi tu kama "aya", "poa", "haina shida" etc
Kuna bro mmoja wife wake alitoka tu akaenda sehemu bila taarifa, jamaa akamwambia usitoke hapo mpaka nije nihakikishe ni kweli upo hapo. Noma iliyotokea, tangu siku hiyo yule dada haendi mbali bila kutoa taarifa hata kama bro kasafiri. Hata kama nyumbani kwao kuna tukio, mama ake ndio huwa anampigia simu bro na tukio liwe la msingi.
Hawa wanawake aiseee ukiwa ronya ronya hutoboi, yani ni kwenda nao mkono wa chuma tu ukijikuta mzungu sana utadombewa mpaka na watoto wa chuo!