Nina wasiwasi na mke wangu...

Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
Kingine kwasababu umeshakosea mwanzo akirudi usimwonyeshe kama umechukia,kaa kizalendo zaidi jifanye hakuna tatizo lolote.
Mchunguze taratibu pasipo mwenyewe kushtuka,maana mwizi ni mwizi tu halafu mwanamke akianza kuchepuka inajulikanaga wazi. Kagua simu yake pasipo yeye kujua ukweli utaujua. Mwekee mitego atanasa tu,akifika cha kwanza atakucheck umekaa mlengo gani basi wewe jifanye mjinga.
Maana wana tabia ya kukupima umempokeaje.
 
Nikweli lakini kwa mke ningumu kuikubali hiyo statement lakini pia na ndomana huwa sipend kumfatilia wife sababu najua ipo siku tu mambo yatakuwa sio mambo mkuu
Mfatilie endapo umedhamiria ukimkuta na hatia utakuwa tayari kumwacha.
 

Sawa sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani sana ntafanya hivyo najua atajaa tu wacha nijifanye niko good hakuna tatizo lolote kama ulivosema
 
mkuu kwanza nakuomba muulize haya mswali kisha naomba feedback akikujibu usisahau.
1: muombe tiketi zote alizo panda kwenda huko kuja na kuondoka angalia na mda alio safiri kama ni kweli au laaaaaa

2: wakati unaongea nae omba namba za dada yake mmoja au wawili wapigie kwa kutumia number yako waulize maswali ya trick kujua kama kweli alifika au laaaa

3: kama ikiwezekana na omba hiyo number ya ndugu yake alie kutana nae dodoma

🤣🤣🤣
 

Nikweli mkuu ndo mchakato unaofuata shukrani sana mkuu kwa ushauri
 
Kazi ndogo sana...eye/s contact....ukiwa fundi unajua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…