Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Kingine kwasababu umeshakosea mwanzo akirudi usimwonyeshe kama umechukia,kaa kizalendo zaidi jifanye hakuna tatizo lolote.Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
Mchunguze taratibu pasipo mwenyewe kushtuka,maana mwizi ni mwizi tu halafu mwanamke akianza kuchepuka inajulikanaga wazi. Kagua simu yake pasipo yeye kujua ukweli utaujua. Mwekee mitego atanasa tu,akifika cha kwanza atakucheck umekaa mlengo gani basi wewe jifanye mjinga.
Maana wana tabia ya kukupima umempokeaje.